Mmiliki wa Fastjet azuiwa kuingiza Tanzania ndege alizoagiza, duh Kenya tuendelee kuwaelewa hawa majirani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani siku za kwanza kwanza hapa Jamii Fforums nilikua napata hasira kila nikiona Watanzania wanapata wivu na chuki dhidi yetu, wakikejeli kila nzuri kwetu, kwamba kila tukileta habari nzuri za Kenya watakesha usiku wote wakitokwa povu kwa hasira, lakini baada ya muda mrefu nimekuja kuwaelewa, ndio asili yao maana hata wao wenyewe baina yao hawatakiani mema.
Kwao suala la kukwamishana ni jambo la kawaida sana.....

Serikali inaona mbali kwa jinsi ilivyokaa kuna uwezekano KQ na SAA wanamtumia. Serikali inabidi ijihakikishie! Mpango wa KQ kuingia aviation market yetu kama kipindi cha PW SAA iliponunua ATCL lazma uzuiwe kwa nguvu zoote! Mbona nyie mliikataa Fastjet?
 
BTW this year KQ anticipate to make a loss of over $200 mln!
 
Evidence iko wapi kwamba Fastjet inatumiwa na KQ?
 
Yaani siku za kwanza kwanza hapa Jamii Fforums nilikua napata hasira kila nikiona Watanzania wanapata wivu na chuki dhidi yetu, wakikejeli kila nzuri kwetu, kwamba kila tukileta habari nzuri za Kenya watakesha usiku wote wakitokwa povu kwa hasira, lakini baada ya muda mrefu nimekuja kuwaelewa, ndio asili yao maana hata wao wenyewe baina yao hawatakiani mema.
Kwao suala la kukwamishana ni jambo la kawaida sana.....

Dikteta hataki ushindani kila sehemu, hataki ushindani kwenye siasa wala biashara wala elimu kati ya shule binafsi na Serikali
 
Serikali inaona mbali kwa jinsi ilivyokaa kuna uwezekano KQ na SAA wanamtumia. Serikali inabidi ijihakikishie! Mpango wa KQ kuingia aviation market yetu kama kipindi cha PW SAA iliponunua ATCL lazma uzuiwe kwa nguvu zoote! Mbona nyie mliikataa Fastjet?
Hahahahahaha hivi kama ATCL itajipanga kutoa huduma bora na kwa bei ridhishi inakuwaje na uoga wa kushindana? Utamfungia FastJet kwa kuogopa kivuli cha KQ, Je huko duniani tunakotaka kurusha ndege zetu tutaitaka hii monopoly pia? Yaani tuseme Dar to Bangkok tukataze ndege nyingine kuruka zaidi ya ATCL pekee?

Kwenye biashara ukishatanguliza uoga tu ujue hakuna sustainability hapo..
 
Hii ni ile fast jet uliishi hapa usiku na mchana ukituhadithia vile itaipiku KQ??? How fast you change tunes Ati sasa ATCL ipo hapo ulitaka KQ iwe...hehehe karma is a bitch geza. 😀
 
BTW this year KQ anticipate to make a loss of over $200 mln!
😂😂😂

Loss maker of all times, sadly now KQ to make a loss is not news but how bigger the loss is all matters.

😂😂😂 They breaking their own records
 
Hahahahahaha hivi kama ATCL itajipanga kutoa huduma bora na kwa bei ridhishi inakuwaje na uoga wa kushindana? Utamfungia FastJet kwa kuogopa kivuli cha KQ, Je huko duniani tunakotaka kurusha ndege zetu tutaitaka hii monopoly pia? Yaani tuseme Dar to Bangkok tukataze ndege nyingine kuruka zaidi ya ATCL pekee?

Kwenye biashara ukishatanguliza uoga tu ujue hakuna sustainability hapo..
tunaongozwa na aliens wa ajabu mtuhurumie tu aisee
 
Back
Top Bottom