MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Yaani siku za kwanza kwanza hapa Jamii Fforums nilikua napata hasira kila nikiona Watanzania wanapata wivu na chuki dhidi yetu, wakikejeli kila nzuri kwetu, kwamba kila tukileta habari nzuri za Kenya watakesha usiku wote wakitokwa povu kwa hasira, lakini baada ya muda mrefu nimekuja kuwaelewa, ndio asili yao maana hata wao wenyewe baina yao hawatakiani mema.
Kwao suala la kukwamishana ni jambo la kawaida sana.....
Kwao suala la kukwamishana ni jambo la kawaida sana.....