Evidence iko wapi kwamba Fastjet inatumiwa na KQ?Serikali inaona mbali kwa jinsi ilivyokaa kuna uwezekano KQ na SAA wanamtumia. Serikali inabidi ijihakikishie! Mpango wa KQ kuingia aviation market yetu kama kipindi cha PW SAA iliponunua ATCL lazma uzuiwe kwa nguvu zoote! Mbona nyie mliikataa Fastjet?
Dikteta hataki ushindani kila sehemu, hataki ushindani kwenye siasa wala biashara wala elimu kati ya shule binafsi na SerikaliYaani siku za kwanza kwanza hapa Jamii Fforums nilikua napata hasira kila nikiona Watanzania wanapata wivu na chuki dhidi yetu, wakikejeli kila nzuri kwetu, kwamba kila tukileta habari nzuri za Kenya watakesha usiku wote wakitokwa povu kwa hasira, lakini baada ya muda mrefu nimekuja kuwaelewa, ndio asili yao maana hata wao wenyewe baina yao hawatakiani mema.
Kwao suala la kukwamishana ni jambo la kawaida sana.....
Mkuu achana na maccm hayoEvidence iko wapi kwamba Fastjet inatumiwa na KQ?
Hahahahahaha hivi kama ATCL itajipanga kutoa huduma bora na kwa bei ridhishi inakuwaje na uoga wa kushindana? Utamfungia FastJet kwa kuogopa kivuli cha KQ, Je huko duniani tunakotaka kurusha ndege zetu tutaitaka hii monopoly pia? Yaani tuseme Dar to Bangkok tukataze ndege nyingine kuruka zaidi ya ATCL pekee?Serikali inaona mbali kwa jinsi ilivyokaa kuna uwezekano KQ na SAA wanamtumia. Serikali inabidi ijihakikishie! Mpango wa KQ kuingia aviation market yetu kama kipindi cha PW SAA iliponunua ATCL lazma uzuiwe kwa nguvu zoote! Mbona nyie mliikataa Fastjet?
sure!Ccm ni gonjwa baya kabisa EA.
Hii ni ile fast jet uliishi hapa usiku na mchana ukituhadithia vile itaipiku KQ??? How fast you change tunes Ati sasa ATCL ipo hapo ulitaka KQ iwe...hehehe karma is a bitch geza. πSerikali inaona mbali kwa jinsi ilivyokaa kuna uwezekano KQ na SAA wanamtumia. Serikali inabidi ijihakikishie! Mpango wa KQ kuingia aviation market yetu kama kipindi cha PW SAA iliponunua ATCL lazma uzuiwe kwa nguvu zoote! Mbona nyie mliikataa Fastjet?
Dikteta hataki ushindani kila sehemu, hataki ushindani kwenye siasa wala biashara wala elimu kati ya shule binafsi na Serikali
πππBTW this year KQ anticipate to make a loss of over $200 mln!
Ati sure [emoji23]sure!
One plane country mtatengeza profit lini tangia 1977???? yani hata babu zako hawajawahi sikia ATCL wametengeza profit. Bure kabisa.πππ
Loss maker of all times, sadly now KQ to make a loss is not news but how bigger the loss is all matters.
πππ They breaking their own records
tunaongozwa na aliens wa ajabu mtuhurumie tu aiseeHahahahahaha hivi kama ATCL itajipanga kutoa huduma bora na kwa bei ridhishi inakuwaje na uoga wa kushindana? Utamfungia FastJet kwa kuogopa kivuli cha KQ, Je huko duniani tunakotaka kurusha ndege zetu tutaitaka hii monopoly pia? Yaani tuseme Dar to Bangkok tukataze ndege nyingine kuruka zaidi ya ATCL pekee?
Kwenye biashara ukishatanguliza uoga tu ujue hakuna sustainability hapo..