Mmiliki wa Gwambina: Bodi ya Ligi walikuwa wanataka pesa kwa nguvu, usipotoa lazima ushuke daraja

Mmiliki wa Gwambina: Bodi ya Ligi walikuwa wanataka pesa kwa nguvu, usipotoa lazima ushuke daraja

Tangu alivyomsema vibaya Mayele, uyo Mnyeti wacha akomeshwe tu tena TFF wamuongezee dozi
 
Kuna yule jamaa anaitwa Almasi Kassongo...mpuuzi sana! Kwanza mgojwa nazi ishaliwa na mwezi lakini dah ana njaa huyo.
 
Brother kwanini useme mabavu unapaswa kuwa objective ili kuondoa element of bias hapa ni sheria ifanye kazi yake
Sijawaonea hao jamaa kutumia hilo neno, matendo yao mara nyingi yanayoambatana na adhabu zao, huchangiwa na mabavu, hasa kwa wale wasiowapenda.

TFF nao wanastahili kuchunguzwa na taasisi nyingine kwa matendo yao, hawapo kimpira, wapo zaidi kufurahisha wakubwa wa hii nchi hasa wanasiasa.
 
Kwa hiyo sajili zote zinazofanywa na timu kubwa,yeye anasema zinapendelewa?

Kwani Gwambina walikuwa premier league hadi asema Simba na Yanga zinapendelewa?

Ana shida zake binafsi aache kutafuta mchawi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni chawa wa mwendazake
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu
 
Clouds FM na Mh.Mnyeti wana kesi ya kujibu.
 
Back
Top Bottom