Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jan 18, 2023 #21 Tangu alivyomsema vibaya Mayele, uyo Mnyeti wacha akomeshwe tu tena TFF wamuongezee dozi
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Jan 18, 2023 #22 Kuna yule jamaa anaitwa Almasi Kassongo...mpuuzi sana! Kwanza mgojwa nazi ishaliwa na mwezi lakini dah ana njaa huyo.
Kuna yule jamaa anaitwa Almasi Kassongo...mpuuzi sana! Kwanza mgojwa nazi ishaliwa na mwezi lakini dah ana njaa huyo.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jan 18, 2023 #23 Nkerebhuke said: Brother kwanini useme mabavu unapaswa kuwa objective ili kuondoa element of bias hapa ni sheria ifanye kazi yake Click to expand... Sijawaonea hao jamaa kutumia hilo neno, matendo yao mara nyingi yanayoambatana na adhabu zao, huchangiwa na mabavu, hasa kwa wale wasiowapenda. TFF nao wanastahili kuchunguzwa na taasisi nyingine kwa matendo yao, hawapo kimpira, wapo zaidi kufurahisha wakubwa wa hii nchi hasa wanasiasa.
Nkerebhuke said: Brother kwanini useme mabavu unapaswa kuwa objective ili kuondoa element of bias hapa ni sheria ifanye kazi yake Click to expand... Sijawaonea hao jamaa kutumia hilo neno, matendo yao mara nyingi yanayoambatana na adhabu zao, huchangiwa na mabavu, hasa kwa wale wasiowapenda. TFF nao wanastahili kuchunguzwa na taasisi nyingine kwa matendo yao, hawapo kimpira, wapo zaidi kufurahisha wakubwa wa hii nchi hasa wanasiasa.
C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Jan 18, 2023 #24 Kwa hiyo sajili zote zinazofanywa na timu kubwa,yeye anasema zinapendelewa? Kwani Gwambina walikuwa premier league hadi asema Simba na Yanga zinapendelewa? Ana shida zake binafsi aache kutafuta mchawi Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo sajili zote zinazofanywa na timu kubwa,yeye anasema zinapendelewa? Kwani Gwambina walikuwa premier league hadi asema Simba na Yanga zinapendelewa? Ana shida zake binafsi aache kutafuta mchawi Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 18, 2023 #25 Ahsante Kwa taarifa...
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Jan 18, 2023 #26 Huyu ni chawa wa mwendazake Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Jan 18, 2023 #27 Clouds FM na Mh.Mnyeti wana kesi ya kujibu.