Mmiliki wa lori hili amkanye dereva wake

Mmiliki wa lori hili amkanye dereva wake

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari zenu pande ya Kenya?
Kama kuna mtu anajua mmiliki wa hili LORI amwambie dereva wake leo alitaka kuua watoto wa kwenye school bus maeneo ya Mizani ya Pongwe Tanga, Aliovateki kwenye kona kali.

Naomba akanywe next time asije pata hasara ya lori lake la gas kuchomwa moto na wananchi wenye hasira.

Asilete ukora wake wa Kenya huku Tz.

Asanteni.



IMG_20240918_155555.jpg

 
YESU KAWAOKOA HAO WATOTO NA AJALI MBAYA

SEMA MUHIMU NI TUWE WAOMBAJI MAANA ULIMWENGU WA ROHO NDIO UNAO ENDESHA ULIMWENGU WA MWILI
Next time angempiga usingizi hata kabla ya kuendesha hilo gari au kumtafutia kazi ya kulima bustani badala ya udereva huenda ingekuwa na tija zaidi (sababu huenda kisaikolojia hao watoto wamepata mshituko)
 
piga picha na hiyo barabara pia. usikute barabara ni nyembamba na imejaa mashimo kama yote!
 
Back
Top Bottom