Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Umaskini utakuua

Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?

Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively

Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe

Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
Mbona povu unalipwa, hao ni wezi WA Mali za uma, ndio maana ushawai sikia mtu akioji Mali za Abood nk
 
Ulishawahi kujiuliza aliye nyuma ya GSM au mnavyomwita Gharib Said? Tanzania ni nchi ambayo ina raia waoga sana na wata waandishi wa habari za kiuchunguzi wengi waoga sana hawasemi ukweli. Nchi inatafunwa sana kwa walio wengi kujificha kwenye vichaka vya wafanyabiashara. Kariakoo hivi sasa utafikiri kuna kampeni ya kununua mghorofa na kuyabomoa kisha kujenga upya. Hawa watu wana pesa kiasi gani? Mtu mmoja ananunua ghorofa 6 na kubomoa zote. Wapo viongozi wengi wa Serikali wanawatumia wafanyabiashara kufanya haya kupitia mgongo wao. Nchi inaliwa mpaka skeleton.
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
whos is a beneficial owner?
Majina kuwepo BRELA na kwenye kadi za magari na MEMART haimanishi ndio mmiliki, kuna beneficial owner behind the scene anatokea singida.
#i rest my cASE.
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Wewe ni Kiazi
 
Back
Top Bottom