Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?

Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively
Akili za kipuuzi hizi.
Jambazi akinyang'anya naye utamleta hapa tumshangilie kwa unyang'anyi wake?

Mwigulu akitumia nafasi anayo tumikia kujinufaisha, unataka watu washangilie kama waliopungukiwa na akili kichwani kama wewe?
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Hili ndilo jibu la kifalsafa. Asante sana Mayalla. Mimi nimeelewa sana.
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Ingekua vema kama pia ungefaham chanzo cha pesa yake na ni akina nani wanapenyeza mpunga kwa siri kwenye kampuni. Ingekua vema kama ungetuambia kampuni ilianza mwaka gani ili tuoanishe muda na utajiri. Ingekua vema pia km ungeweza kufahamu uhusiano uliopo kati ya waziri fulani na Joseph Ngaleuya(ninafaham huo uhusiano mimi). Ukishindwa hayo, huna unalolijua, kaa kimya!!
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
We jamaa unauwezo mdogo wa kufikiri. Kila unachokiona kwenye maandishi yaweza kuwa hakipp hivyo. Ulitaka kuona jina la mh halafu ikifika mwanzoni mwa mwaka mjengoni spika akisema kila mh aandike Mali zake unataka awekwe wazi kuwa sio mkulima ? Tumia akili ya uendeshaji wa biashara nchini kwetu.
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Nchi ya maigizo
 
"Watoto wa wakulima" usiamini kila neno wala utakachokiona wala mtu wala wewe mwenyewe ikibidi usijiamini. Hiyo ni hapa kwetu 4:9
 
Asante sana kwa mvua zinazoendelea, zitafukua mengi zaidi. Barabara zikiendelea kukatika, kuna uwezekano mkubwa wa Wadanganyika kuzinduka. Kama sisi wenyewe tumeshindwa kufukua makaburi ngoja tupate msaada wa el nino!

Kazi ya mabilioni na matrilioni tunazotozwa bila huruma, tunazokopa kama vichaa, tunazogawa kama njugu kwa ndugu, marafiki na washikaji, duh! List ni kubwa, mvua iendelee na kazi iendelee...?
 
Hii ni sawa na miaka ile baba anaweza kuwepo nyumbani ila anakuambia akija mtu fulani au mara zingine mtu yoyote mwambie sipo.
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
wewe ni bwege sana, kwahiyo ulitaka mheshimiwa aweke jina lake hapo
 
Mleta andiko,ni mwanasiasa mwenyewe,anatumia I'd mbalimbali au chawa mbalimbali,kujisafisha.Lakini uzoefu ni kuwa wanasiasa wengi,huwa wananunua magari na kuyaweka kwenye makampuni ya wafanya biashara on commission basis. Weka registration numbers ya gari zote za Ester Bus Service. na weka mizania ya huyo Ngeleuya tufanye uchambuzi ( hisa zake, mikopo etc)
 
Hii old school hasa. Kizazi cha warabu na wahindi kumiliki busses kilishaisha kanda ya ziwa. Tukikumbuka zile Tanganyika bus, Bunda bus, Trans nk.
Zamani upandi Tanganyika bus au trans kama ujavaa vizuri
 
Yule bwana akitumbuliwa mbona kampuni na timu ya mpira Huwa zinayumba
 
Umaskini utakuua

Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?

Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively

Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe

Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
Rejea andiko la Pascal Mayalla kuhusu Silent Partner (s)ndo utajua hakuna elements za wivu hapo!
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Matajiri wengine wana act Kama utingo au dereva 🤔 huwezi kudhania! akili za kuambiwa unachanganya na zako
 
Mkuu zanku , kwanza Hakuna kosa lolote kisheria mtu yoyote kuwa a silent partner kwenye biashara yoyote, as long as hizo fedha za mtaji ni fedha halali!.

Pili asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Hahaha akileta source niamshe nimekaa paleeeee
 
Back
Top Bottom