Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Mbona povu unalipwa, hao ni wezi WA Mali za uma, ndio maana ushawai sikia mtu akioji Mali za Abood nk
 
Ulishawahi kujiuliza aliye nyuma ya GSM au mnavyomwita Gharib Said? Tanzania ni nchi ambayo ina raia waoga sana na wata waandishi wa habari za kiuchunguzi wengi waoga sana hawasemi ukweli. Nchi inatafunwa sana kwa walio wengi kujificha kwenye vichaka vya wafanyabiashara. Kariakoo hivi sasa utafikiri kuna kampeni ya kununua mghorofa na kuyabomoa kisha kujenga upya. Hawa watu wana pesa kiasi gani? Mtu mmoja ananunua ghorofa 6 na kubomoa zote. Wapo viongozi wengi wa Serikali wanawatumia wafanyabiashara kufanya haya kupitia mgongo wao. Nchi inaliwa mpaka skeleton.
 
whos is a beneficial owner?
Majina kuwepo BRELA na kwenye kadi za magari na MEMART haimanishi ndio mmiliki, kuna beneficial owner behind the scene anatokea singida.
#i rest my cASE.
 
Wewe ni Kiazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…