Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Corona ipo na maambukizi yanazidi kushika kasi. Usisikilize maneno ya wanasiasa washenzi wasio na huruma na maisha ya binadamu wenzio.Wakuu ebu tuwe wazi hv korona ipo ama imekwisha mm nipo katikati sielewi kabisa!!?
Hiki n nn na ww umeandikaBwana amezaa
Bwana ameua
Jina lake lihimidiwe
Inna Lilahi
Wa Innah Ilahi
Raaaj Un!
Ummy Ticha alisema wagonjwa wamebaki 4changamoto za upumuaji bado zimetamalaki
Aisee Nimejikuta nalia jamani inamaana na mke wake kafariki kweli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Huyoo Mama ameshafariki.
Ajabu ni kuwa amewawekea goti shingoni watu wanalalamika "they can't breathe" yeye hajali.Magufuli naye atakufa ila siyo siku unayoipenda wewe wala kifo unachotaka wewe! Only God knows when and how!
Kwasababu ni kanjibai,si umeona hajabisha wala nnKwann umemuita jamaa kanjibai?
WekaNitaweka video hapa nikuumbue wewe. Unajua unachoandika?
Aisee Nimejikuta nalia jamani inamaana na mke wake kafariki kweli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mama naye kafariki mchana huu, habari ya uhakika kabisa
ni kupumua tu hakuna kinginePole sn kwa familia. Ni changamoto gani?
Mkuu unamfahamu huyu baba?Ndio nlikua nashangaa lini dunia kaoza binti yake,istoshe sio wa 1977
Kweli!!!Tango pori
Mama yupo hai tunaendelea vizuri hospital na soon anaweza kutoka kurudi nyumbaniKweli!!!
Iweke vizuri sasa kwakuwa limeshabamba sana kuwa katangulia mbele ya haki
Watu wamepotoshwa huko na wameuamini upotoshaji wa twita tanzania hii kazi kweli kweli.Mama yupo hai tunaendelea vizuri hospital na soon anaweza kutoka kurudi nyumbani
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Safari defuWatu wamepotoshwa huko na wameuamini upotoshaji wa twita tanzania hii kazi kweli kweli.
Kweli!!!
Iweke vizuri sasa kwakuwa limeshabamba sana kuwa katangulia mbele ya haki
Mungu amjalie afya njema,na uponyaji wa haraka.Mama yupo hai tunaendelea vizuri hospital na soon anaweza kutoka kurudi nyumbani
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Weka pichaalitupa matumain vijana kuwa hela inaweza jenga popote wanaojua nyumba yake ya marangu watakuwa wanaelewa