Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Corona ipo na maambukizi yanazidi kushika kasi. Usisikilize maneno ya wanasiasa washenzi wasio na huruma na maisha ya binadamu wenzio.Wakuu ebu tuwe wazi hv korona ipo ama imekwisha mm nipo katikati sielewi kabisa!!?