Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
ukiwaza sana unaweza usifanye kazi, yaani mambo mengi muda mchache, just imagine unakusanya weee alafu wanakuja watu kugawana mali zako kwenye mirathi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiwaza sana unaweza usifanye kazi, yaani mambo mengi muda mchache, just imagine unakusanya weee alafu wanakuja watu kugawana mali zako kwenye mirathi
Na ndivyo ilivyo mkuu..kujazana upepo tuukiwaza sana unaweza usifanye kazi, yaani mambo mengi muda mchache, just imagine unakusanya weee alafu wanakuja watu kugawana mali zako kwenye mirathi
Unaumwa nini?
Ipoje?alitupa matumain vijana kuwa hela inaweza jenga popote wanaojua nyumba yake ya marangu watakuwa wanaelewa
Kiwango chako Cha Elimu tafadhaliAccording to the photo anaonekana young
Kiujumla aliitendea haki hela yakeIpoje?
Waii.... weka picha basiKiujumla aliitendea haki hela yake
Kiwango chako Cha Elimu tafadhali
PolePrimary tu!
Pole
Huyu jamaa anafariki kila siku?
Inashangaza sana.Kuzikwa ameshazikwa lkn habari ndio hiyo kila siku, mbn hawasemi kashazikwa?
Wote tunapitaDunia mapito!!
Hapana maana yake wako kwenye hiyo biashara ya since enzi hizo Mzee wake James Moshi alivyokua na hayo magariNdomaana mabasi yake mbele yameandikwa 1915-2015, inamaanisha mzee wake aliishi miaka 100
Hapana maana yake wako kwenye hiyo biashara ya since enzi hizo Mzee wake James Moshi alivyokua na hayo magari