Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Wanauhakika gani kua amekufa ilhali hawajaona mwili wala mabaki ya mwili, yawezekana amefichwa sehemu na wasiojulikana wanamtatua rinda moja baada ya lingine
 
Bado sijaelewa, mabaki ya mwili hayajakutwa na wamekiri hilo lakini 'amefariki' mwili uko wapi?
 
Siajelewa. Amekufa au gari lake ndio limekutwa limekufa (limechomwa)? Maana katika hii thread sijaona mahali wanasema wamekuta mwili au mabaki yake, sasa amekufa kivipi.
 
Labda mzima maana mwili haupo kwenye gari iliyochomeka moto.

So sad
 
Siajelewa. Amekufa au gari lake ndio limekutwa limekufa (limechomwa)? Maana katika hii thread sijaona mahali wanasema wamekuta mwili au mabaki yake, sasa amekufa kivipi.
Hata mm nimeshangaa wamepata uhakika gani km amekufa iwapo hawajakuta maiti yake.
 
Umeandika makande tuu huku sasa umekuaje kafa wakati una andika mwili haujakutwa eneo la tukio copy an pest hizi
 
Umeandika makande tuu huku sasa umekuaje kafa wakati una andika mwili haujakutwa eneo la tukio copy an pest hizi
Uelewa wako finyu. Hapo kuna taarifa mbili tofauti ni kama vile mfululizo wa UPDATES, angalia kwa makini. Ila taarifa ya kwanza ndo hakika kwani mwili wake umepatikana kwenye mto Ndabaka, Serengeti unaelea ukiwa umewekwa kwenye mfuko wa Sandarusi.
 
Upo sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…