Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Iyi itakuwa ni mambo ya kibiashara kawazunguka wahuni nao wauni wamemzunguka mara 3 zaidi..
 
Watu wasiojulikana hao.
Hii ndio TZ ya sasa. Mtu wiki mbili hapatikani kisha maafa ju yake
 
Serengeti eneo lipi sasa!! Maana kama ni porini eneo lipi maana pori la Serengeti ni kubwa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…