Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Gari lichomwe ad kuteketea tena kwenye hifadhi bila askar Wa wanyama pori kugundua wala kutouona moshi!?

Alafu wanajisifu kwa kupambana na majangili.

Mungu hailaze mahali pema roho ya marehem.
we bila shika hujawah kufaulu mitihanj! ni wapi hapo kwenye post wamesema gari limechomwa kwenye hifadhi? au unafikiri mtu akisema Serengeti basi eneo lote la wilaya ni mbuga?
 
Ghazwati waeleze vizuri wadau aliunguzwa pamoja na gari yake au walimtoa wakamuulia pembeni?
 
Duh......so sad jamani, Poleni wanafamilia, jamaa na marafiki!
 
Mwili wake haujapatikana hadi sasa,ndugu wa karibu na vyombo vya usalama ndiyo wametoka kwenye mbuga za Serengeti kumutafuta na hawajapa mwili wake endeleeni kutafuta habari za uhakika zaidi

Mmh! Inatisha na kuogopesha
 
View attachment 708766View attachment 708767
28870378_2061738970509399_5210459689955317991_n.jpg

View attachment 708768

Samson Josiah maarufu kama Super Sami au mmiliki wa mabasi ya Super Sami Ltd amefariki.

Ni baada takribani wiki mbili zilizopita alikuwa hapatikani hewani wala kujulikana alipo. Amekutwa amekufa Serengeti na gari lake limechomwa moto.

Wadau wa mabasi wamesikitishwa sana na kukemea tukio hili.
damu yake itamlilia Mungu kama Kain alivyouwa damu yake ilimlilia mungu
 
we bila shika hujawah kufaulu mitihanj! ni wapi hapo kwenye post wamesema gari limechomwa kwenye hifadhi? au unafikiri mtu akisema Serengeti basi eneo lote la wilaya ni mbuga?
Pia kwenye post amna mahali wamesema gari lemechomewa kwenye makazi ya watu au kutaja eneo

Jaribu kufikiri kutokana na mazingira

Stupid mind!
 
View attachment 708766View attachment 708767
28870378_2061738970509399_5210459689955317991_n.jpg

View attachment 708768

Samson Josiah maarufu kama Super Sami au mmiliki wa mabasi ya Super Sami Ltd amefariki.

Ni baada takribani wiki mbili zilizopita alikuwa hapatikani hewani wala kujulikana alipo. Amekutwa amekufa Serengeti na gari lake limechomwa moto.

Wadau wa mabasi wamesikitishwa sana na kukemea tukio hili.
Nimesomaasehemu hiihabari kunamkudhulumiana hapokati marehemu pekee ndiemwenye kuja aeleze ukwelihalisi
 
Mwili wake haujapatikana hadi sasa,ndugu wa karibu na vyombo vya usalama ndiyo wametoka kwenye mbuga za Serengeti kumutafuta na hawajapa mwili wake endeleeni kutafuta habari za uhakika zaidi
mbona habari inasema ameuwawa na gari kuchomwa moto??
 
Back
Top Bottom