Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Duu awamu hii kazi tunayo

Acha uzwazwa wewe... hata hili unataka kuhusisha awamu?

vipi mauaji ya bilionea msuya na matajiri wengine wa Arusha yalitokea awamu hii
?

hawa matajiri waacheni hivyohivyo wanaishi kwenye dunia yao na wanayofanya kwenye hiyo dunia yao wanayajua wenyewe na wengi huo ndio huwa mwisho wao

eti awamu hii.... KENGE MMOJA WEWE mnakera sana nyie ZERO BRAIN mnaojikuta great thinkers
 
Gari yake imekutwa imeteketea kwa moto upande wa pili wa hifadhi ya Serengeti kama unaelekea ziwani panaitwa Nyantarwe na sio kweli gari limekutwa ndani ya hifadhi ya Serengeti
 
Kwani hilo eneo anakopeleka mabasi yake yuko Yule tajiri wa mabasi ya Zacharia? km hiyo barabara inayo hayo mabasi mmmmmh
 
Gari yake imekutwa imeteketea kwa moto upande wa pili wa hifadhi ya Serengeti kama unaelekea ziwani panaitwa Nyantarwe na sio kweli gari limekutwa ndani ya hifadhi ya Serengeti
Dar kuna Gesti inaitwa NYANTARE. umenikumbusha kitu. Asante
 
Back
Top Bottom