Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Ghazwati waeleze vizuri wadau aliunguzwa pamoja na gari yake au walimtoa wakamuulia pembeni?
kuna coments inasema mpaka sasa mwili wake haujaptikana sasa hata sielewu!
 
Eti mna amani... Kweli? Labda kwa kulinganisha na Syria na Yemen...
 
IMG_20180309_183609_536.jpg

Rest in peace
 
Inawezekana kuna watu wanataka kurithi mabasi kabla ya muda kufika, wakaona wamuwahishe, kama ana ndugu ndugu ambao wanaonekana viherehere kwenye hayo mabasi kuliko hata familia yake mwenyewe wachunguzwe hao ndugu. Pia washindani wa kibiashara wachunguzwe, pia vimada na waume wa vimada wote wachunguzwe
Unahisi kumbe
 
Serengeti ni Kubwa sana kiongozi.Upande wa kasini imepakaba na singida,upande wa kaskazini imepakana na Kenya ,mshariki imeingia hadi mkoa wa arusha,magharibi imepakana na ziwa Victoria
Ndiyo maana ukitaka kutembelea Serengeti huwezi kuimaliza kwa siku moja,lazima utembelee angalau zaidi ya Mara 4 maana INA corridor 4
NORTH CORRIDOR, SOUTH CORRIDOR,EAST CORRIDOR NA WEST corrido
HAPA swali itakuja kwa maafisa na wasimamizi wa humu Serengeti
1. aliingia lini
2.alilipia siku ngapi
3.kama muda aliyolipia kukaa humu ndani ilizidi na hakurudi tena nje ya geti mlichukua hatua gani
Maana kulala mle ndani kuna hoteli za 50000-600000 kwa siku,kutembea porini ni 11800 kwa siku,gari kama hii Kuingia humu ndani ni takriban 70000 Kama ni tani 4View attachment 708843View attachment 708846View attachment 708847View attachment 708849
Jamaa una akili sana
 
Tatizo watuhumiwa hua hawapatikani? Kwanini haya matukio hujirudia rudia kila mara?
Hao ni watu wasiojulikana kwahiyo kuwapata siyo leo.
Watu wasiojulikana wana kiu ya damu hivyo hufanya matukio yawe yanajirudia kila siku. Subiri na ww kutekwa kwa kuandaa maandamo tarehe 26/4
 
Hao ni watu wasiojulikana kwahiyo kuwapata siyo leo.
Watu wasiojulikana wana kiu ya damu hivyo hufanya matukio yawe yanajirudia kila siku. Subiri na ww kutekwa kwa kuandaa maandamano 26/4
Mkuu hapo kwenye red nitake radhi.
 
sasa kama baba ana miliki genge LA watesi na wauwaji ..watoto nao wafanye nini !!?
baba mvuta bangi ..mlevi .mzinzi ..halafu tunataka watoto wake wawe mashekhe na wachungaji tuendelee kuota


masikini tumesahau kuwa serikali ndio kioo cha kwanza kinachopaswa kuitwa Kioo cha Jamii ""


R.I.P SUPER SAMMI
 
Kaka yetu bado anakula tuu mshahara kila mwezi ofisini uku akipulizwa kiyoyozi.
 
Gari lichomwe ad kuteketea tena kwenye hifadhi bila askar Wa wanyama pori kugundua wala kutouona moshi!?

Alafu wanajisifu kwa kupambana na majangili.

Mungu hailaze mahali pema roho ya marehem.
shangaa wewe mkuu ..hahaaa
 
Back
Top Bottom