kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
kuna coments inasema mpaka sasa mwili wake haujaptikana sasa hata sielewu!Ghazwati waeleze vizuri wadau aliunguzwa pamoja na gari yake au walimtoa wakamuulia pembeni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna coments inasema mpaka sasa mwili wake haujaptikana sasa hata sielewu!Ghazwati waeleze vizuri wadau aliunguzwa pamoja na gari yake au walimtoa wakamuulia pembeni?
Hizo ni hisia tuDuuuhhh itakuwa kati ya kisasi cha biashara au mambo ya kuchukuliana wanawake lazima.. Mmmmmhh
Matukio ya kufanana nilazima Kama unatimamu ufikilie mala mbili mbili ila kama wewe ni ndiyo mzee sikushangai.Awamu ina uhusiano gani na hilo tukio.??
Unahisi kumbeInawezekana kuna watu wanataka kurithi mabasi kabla ya muda kufika, wakaona wamuwahishe, kama ana ndugu ndugu ambao wanaonekana viherehere kwenye hayo mabasi kuliko hata familia yake mwenyewe wachunguzwe hao ndugu. Pia washindani wa kibiashara wachunguzwe, pia vimada na waume wa vimada wote wachunguzwe
Jamaa una akili sanaSerengeti ni Kubwa sana kiongozi.Upande wa kasini imepakaba na singida,upande wa kaskazini imepakana na Kenya ,mshariki imeingia hadi mkoa wa arusha,magharibi imepakana na ziwa Victoria
Ndiyo maana ukitaka kutembelea Serengeti huwezi kuimaliza kwa siku moja,lazima utembelee angalau zaidi ya Mara 4 maana INA corridor 4
NORTH CORRIDOR, SOUTH CORRIDOR,EAST CORRIDOR NA WEST corrido
HAPA swali itakuja kwa maafisa na wasimamizi wa humu Serengeti
1. aliingia lini
2.alilipia siku ngapi
3.kama muda aliyolipia kukaa humu ndani ilizidi na hakurudi tena nje ya geti mlichukua hatua gani
Maana kulala mle ndani kuna hoteli za 50000-600000 kwa siku,kutembea porini ni 11800 kwa siku,gari kama hii Kuingia humu ndani ni takriban 70000 Kama ni tani 4View attachment 708843View attachment 708846View attachment 708847View attachment 708849
WApo busy na ChademaAskari walikua wapi mda wote Wote huo
Hao ni watu wasiojulikana kwahiyo kuwapata siyo leo.Tatizo watuhumiwa hua hawapatikani? Kwanini haya matukio hujirudia rudia kila mara?
Haija mshinda kwasbb yupo busy kuweka bajeti ya kununulia wapinzaniMwigulu kazi imemshinda
Mkuu hapo kwenye red nitake radhi.Hao ni watu wasiojulikana kwahiyo kuwapata siyo leo.
Watu wasiojulikana wana kiu ya damu hivyo hufanya matukio yawe yanajirudia kila siku. Subiri na ww kutekwa kwa kuandaa maandamano 26/4
AiseeeMwigulu nchemba alisema hao wanaokufa ni wa inchi jirani.
R.I.P
Cc mshana jr hyo pete ina kazi ganiView attachment 709152
Rest in peace
shangaa wewe mkuu ..hahaaaGari lichomwe ad kuteketea tena kwenye hifadhi bila askar Wa wanyama pori kugundua wala kutouona moshi!?
Alafu wanajisifu kwa kupambana na majangili.
Mungu hailaze mahali pema roho ya marehem.