Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Serengeti eneo lipi sasa!! Maana kama ni porini eneo lipi maana pori la Serengeti ni kubwa sanaaa
Serengeti ni Kubwa sana kiongozi.Upande wa kasini imepakaba na singida,upande wa kaskazini imepakana na Kenya ,mshariki imeingia hadi mkoa wa arusha,magharibi imepakana na ziwa Victoria
Ndiyo maana ukitaka kutembelea Serengeti huwezi kuimaliza kwa siku moja,lazima utembelee angalau zaidi ya Mara 4 maana INA corridor 4
NORTH CORRIDOR, SOUTH CORRIDOR,EAST CORRIDOR NA WEST corrido
HAPA swali itakuja kwa maafisa na wasimamizi wa humu Serengeti
1. aliingia lini
2.alilipia siku ngapi
3.kama muda aliyolipia kukaa humu ndani ilizidi na hakurudi tena nje ya geti mlichukua hatua gani
Maana kulala mle ndani kuna hoteli za 50000-600000 kwa siku,kutembea porini ni 11800 kwa siku,gari kama hii Kuingia humu ndani ni takriban 70000 Kama ni tani 4
IMG_20180217_100016.jpeg
IMG_20180217_100016.jpeg
IMG_20180217_135646.jpeg
IMG_20180217_091319.jpeg
 
Utasikia majangiri ndo walioshiriki, kumbeeee ,..............
 
Watu wasiojulikana hao.
Hii ndio TZ ya sasa. Mtu wiki mbili hapatikani kisha maafa ju yake
Kwani alikuwa chama gani,Kwa uzoefu wa wasiojulikana uwafuata waimbao nyimbo mbovu zenye kuwasha masikioni, ukiimba nyimbo za kusifu na kuabudu huna madhara kwao.
 
View attachment 708766View attachment 708767
28870378_2061738970509399_5210459689955317991_n.jpg

View attachment 708768

Samson Josiah maarufu kama Super Sami au mmiliki wa mabasi ya Super Sami Ltd amefariki.

Ni baada takribani wiki mbili zilizopita alikuwa hapatikani hewani wala kujulikana alipo. Amekutwa amekufa Serengeti na gari lake limechomwa moto.

Wadau wa mabasi wamesikitishwa sana na kukemea tukio hili.
First speculation DHULUMA
second USHINDANI
Third USHIRIKINA
Forth ROHO MBAYA + FAMILY MATTERS
 
Huko hamna sattelait wauwaji wakamatwe? rip
Kwa technology ya wenzetu kupitia satellite ni dakika,hata ishu ya lisu ingekuwa sekunde,wanatrack Kwa msaada wa satellite, hio gari kama alifunga vifaa vya kunasa sauti na picha ni rahisi sana wakienda kwenye serva itawaonyesha wahusika wote. Fungeni mifumo ya satellite kwenye Magari yenu inasaidia sana kuwapata wasiojulikana.
 
Mkuu unaijua familia yake? ameacha watoto wangapi?
Mm namjua mtoto wake kipenzi aliyekuwa msamimiz mkuu nae alisha fariki km 2016 hv ..na ndio nilikuwa na ukaribu nae ..adi kufika kwake zaidi ..
 
Kwa technology ya wenzetu kupitia satellite ni dakika,hata ishu ya lisu ingekuwa sekunde,wanatrack Kwa msaada wa satellite, hio gari kama alifunga vifaa vya kunasa sauti na picha ni rahisi sana wakienda kwenye serva itawaonyesha wahusika wote. Fungeni mifumo ya satellite kwenye Magari yenu inasaidia sana kuwapata wasiojulikana.
Kwasasa ngoja tujenge kuta kuzunguka machimbo kwanza
 
Back
Top Bottom