Mmiliki wa Oya group (kampuni baba ya oya microfinance Tanzania) ajinunulia buggati na ndege

Madwari Madwari

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
2,732
Reaction score
4,568


Richard Nii-Armah Quaye (Raia wa Ghana)
mmiliki wa Bills Micro Credit au Quick Credit ambayo ni kampuni Baba ya OYA Microfinance amejinunulia private Jet na Buggati.
Your browser is not able to display this video.

☝️ ☝️ ☝️ Akipokea ndege yake nchini Ghana.

☝️☝️☝️Post ikionesha maandalizi ya Bugatti yake kubebwa na ndege mpaka Ghana
Your browser is not able to display this video.

☝️☝️☝️Akihutubia wafanyakazi wa OYA Microfinance Tanzania
Your browser is not able to display this video.

☝️☝️☝️Akihutubia wafanyakazi wa OYA Microfinance Uganda
Your browser is not able to display this video.

☝️☝️☝️Akihutubia wafanyakazi wa OYA Microfinance Kenya
 
Bado hamjachelewa, muombeni msamaha ambaye mlimtuhumu kuwa ni mmiliki wa hii kampuni.

NB
Mwezi wa toba huu, tubuni katika hili
 
Aisee, watu walikuwa wanasema ni ya muhindi mmoja huko Dar maeneo ya Masaki.
 
Bado hamjachelewa, muombeni msamaha ambaye mlimtuhumu kuwa ni mmiliki wa hii kampuni.

NB
Mwezi wa toba huu, tubuni katika hili
Mkuu hata Mimi niliingizwa chaka kuwa mmiliki ni mbongo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…