Kumbukeni hata kama ni ya mghana ila naamini ili kuoata unafuu atakuwa amefungua Oya TZ kama kampuni ya local na sio kama tawi la kampuni ya Oya ghana ndo maana inaitwa Oya tanzania na kuna Oya Uganda.. sasa kwa sheria za nchi kama amefungua kampuni hapa TZ akaisajili kama kampuni na yeye ni mgeni lazima kuwe na mtanzania mmoja mwenye share hata kama ni 1% so kimsingi unaweza ukasema inamilikiwa na mbongo kwa ubia. Na mghana