Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Lakini hebu tizama kwa angle nyingine,ni fainali zipi za Kombe la Dunia huu ushoga ulipata free airtime kama ilivyo kwa sasa kule Qatar? Wenyewe huwa wanasema 'There is no such thing as bad publicity'.Kwangu mimi naiona Qatar kama imejikuta inautangaza zaidi huo ushoga.Qatar wamesimamia msimamo wao, na watafanikiwa.
Ushoga hapana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app