Lakini hebu tizama kwa angle nyingine,ni fainali zipi za Kombe la Dunia huu ushoga ulipata free airtime kama ilivyo kwa sasa kule Qatar? Wenyewe huwa wanasema 'There is no such thing as bad publicity'.Kwangu mimi naiona Qatar kama imejikuta inautangaza zaidi huo ushoga.Qatar wamesimamia msimamo wao, na watafanikiwa.
Ushoga hapana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Msimamo wao utasaidia wengiLakini hebu tizama kwa angle nyingine,ni fainali zipi za Kombe la Dunia huu ushoga ulipata free airtime kama ilivyo kwa sasa kule Qatar? Wenyewe huwa wanasema 'There is no such thing as bad publicity'.Kwangu mimi naiona Qatar kama imejikuta inautangaza zaidi huo ushoga.
Shida sio kufanya shida kulazimisha watu wote wafanye.Kuna upande wanafanya Ushoga sirini wakijivisha uso wa kidini wakifiri na Mungu wanaweza kumpumbaza na Upande mwingine wanafanya waziwazi wakifiri wanafanya Jema maana wanatoa haki kwa wote.
Mbona PSG walivaa uzi wenye upinde na hakufanya chochote? Binadamu ni wanafiki sana.
Mimi nasema mashoga na wasagaji wasibugudhiwe iwapo mambo yao wanayafanya huko vyumbani mwao ila wakijitangaza hadharani basi ikiwezekana wachomwe kwa petroli live bila chenga.
Unajua kuwa kawaida ya binadamu ni kujaribu kile ambacho anazuiwa kukifanya just out of curiosity?
Sasa kama ni mambo yake ya sirini wewe utajuaje? Akijitokeza hadharani na kutafurahia hayo maisha basi atakutana na vita ya kupoteza uhai.Tuseme mwanao wa kiume
Afilwe chumbani ni freshi
Ila asifilwe hadhalani?
Vip hapo ina sound good au?
Sio kweli hakuna aliyekamatiwa silaha akalazimishwa akubali ushoga ila ni ushawishi fulani unatumika na mna haki ya kukataa, mbona mataifa mengi tu duniani yamekataa na hakuna walichofanywa.Shida sio kufanya shida kulazimisha watu wote wafanye.
Wewe ulishawai kulazimishwa?Shida sio kufanya shida kulazimisha watu wote wafanye.
Nadhani kinyume chakeSasa huoni kuwa kwa sasa ushoga ndiyo unaongelewa zaidi kuliko hata mechi zenyewe za Kombe la Dunia? Ni kama Qatar wametumika kuutangaza zaidi huo ushoga wenyewe.Sijawahi kusikia kwenye fainali zingine zote zilizopita hii ya ushoga ikipewa free airtime kama fainali hizi za sasa.
Waarabu kweli hawapendi mashoga ila nya za wake zao wanazisugua kama hawana akili vile..wao wanaita sunna.
#MaendeleoHayanaChama
Itakuwa ulishasuguliwa sio bure
Kabisa, na ndomana tunawakemea Maustaadhi wanaolawiti watoto.