Mmiliki wa Spotify atoa ofa nyingine ya kuinunua Arsenal

Mmiliki wa Spotify atoa ofa nyingine ya kuinunua Arsenal

Mnyuke junior

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
15
CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa inayokadiriwa kufika £1.8bn kwa mmiliki wa washika mitutu hao wa london kroenke lakini ofa hiyo ilikataliwa kwa mlengo wa kuwa klabu hiyo haiuzwi.

IMG_20210610_123243_904.jpg
 
Kroenke angeondoka tu Arsenal, under his ownership timu imezidi kuporomoka mpaka imepoteza maana kabisa, now Arsenal hawatashiriki tena mashindano ya Ulaya for the first time in mora than 25 yrs.

Ameigeuza Arsenal duka auze wachezaji ajigawie faida, wakati wenzake wana invest chote wanachopata kwenye mauzo ya wachezaji wao, na wanaongezea kingine toka kwa mifuko yao waimarishe timu zao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa umenichekesha sana! Yaani mashabiki wa Arsenal mna maisha magumu sana kama wale wa Yanga tu[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu ndugu yangu, ni vile tu simba wananipa raha huku tz, la sivyo saa hizi sijui ingekuwaje[emoji848]
 
Back
Top Bottom