Mnyuke junior
Member
- Jun 1, 2021
- 19
- 15
Mungu atutizame kwa jicho la huruma.. [emoji23]Arsenal atuna raha kwakweli,vibanda umiza huwa tunakaa mwisho mwisho kwenye kona kule.
Aamin.Mungu atutizame kwa jicho la huruma.. [emoji23]
We acha tu ndugu yangu, ni vile tu simba wananipa raha huku tz, la sivyo saa hizi sijui ingekuwaje[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa umenichekesha sana! Yaani mashabiki wa Arsenal mna maisha magumu sana kama wale wa Yanga tu[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app