Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

Vile vichwa Kwenye kikao kimoja liyekuwa Mkueugenzi WA Bandari Kakoko alitamba kuwa ameketa vichwa vya trend kwaajili ya kusafuriaha mizigo kumpeleka Bandari Kavi RUVU. Aliye MLETA siakaropoka kuwa kuna vichwa having mwenyewe. Nijuavyo Mie walipewa Reli ya kati
Ile AWAMU ile,!

Nabaki nacheka tu 😂😂😂😂😂😂😂
 
Umefukua Kaburi Kuonyesha Sarakasi Ndani Ya Ccm Zimeanzia Mbali Huko
 
Back
Top Bottom