Si alikuwa anajijua kuwa ana Betrii,we umemsikia Samia akiongelea kufakufa.
Kutokuonge habari za kifo sio kizuizi cha kufa!!! Mwambieni mama Samia achunge afya yake, siku hizi anaonekan amekuwa OBESE!!!! Obesity is a risk factor!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si alikuwa anajijua kuwa ana Betrii,we umemsikia Samia akiongelea kufakufa.
Hakuna karatasi zinazovitambulisha? Vilishushwa vipi Dar na siyo kupelekwa Hong Kong, au India, au Japan? n.k. Kama si vya Gwajima, mtu asituchezee akili na kitu cha upumbavu namna hii.Mkuu sisi kama wananchi wa kawaida sana kwenye jamii ya watanzania tuliambiwa kuwa vile vichwa havinaagizwa na serikali.
Kama havijaagizwa na serikali nani mhusika ? Hakujitokeza mtu na maana yake ni kuwa viliokotwa.
Hilo swali nadhani aliulizwa sana mh Mbarawa kipindi kile cha kuokota hivyo vichwa.Hakuna karatasi zinazovitambulisha? Vilishushwa vipi Dar na siyo kupelekwa Hong Kong, au India, au Japan? n.k. Kama si vya Gwajima, mtu asituchezee akili na kitu cha upumbavu namna hii.
Gwajima huyo ni yupi maana kuna kina Gwajima wengi sanaHakuna karatasi zinazovitambulisha? Vilishushwa vipi Dar na siyo kupelekwa Hong Kong, au India, au Japan? n.k. Kama si vya Gwajima, mtu asituchezee akili na kitu cha upumbavu namna hii.
Nilisema Askofu Gwajima aliyetangaza kwamba amepata fedha taslimu za kununulia treni nzima. Kuna Askofu Gwajima mmoja tu.Gwajima huyo ni yupi maana kuna kina Gwajima wengi sana
Wewe jamaa huwa nakochola tu comments zako kuhusu magufuli mmh kuna kitu juu ya huyo Mwamba siyo bure..Kaondoka kaviacha. Hata wale alowamiminia risasi na kuwapangia mazishi yao hata kabla hawajafa kaondoka kawa acha. Sasa hivi ni mwendo wa kuchezea vitasa vya hatarii kuzimu.
Idugunde Magonjwa Mtambuka
Haramuuu astaghafir!Bora kusafisha banda la nguruwe kuliko kulazimishwa kulinda kaburi utadhani kuna tanzanite
Kwani wewe uliondolewa lile la ndesa pesa!Vipi kulinda kaburi?
Tatizo la baba alikuwa mpenda fix na sifa ...Sijawahi kuona marehemu anatukanwa kama huyu
Wenyeji wengi wa Pwani wako hivyo kwa ajili ya Wali na Mboga za Nazi.Kutokuonge habari za kifo sio kizuizi cha kufa!!! Mwambieni mama Samia achunge afya yake, siku hizi anaonekan amekuwa OBESE!!!! Obesity is a risk factor!
Nje ya Mada.una laana ya kumchungulia mama yako mkuu.
Nakumbuka kuna wakati TRC walipeleka vichwa vya treni India kwa matengenezo makubwa ( engine overhaul) uenda ndiyo vilikuwa vinarudishwa wakawa wamesahau kuwa ni mali yao.Ilikuwaje vije ndiyo mkataba wa manunuzi ukamilishwe.Bado nauliza ni nani aliingiza vile vichwa vya treni nchini?
Magufuli alikuwa shetani kwenye mwili wa binadamu. Karudi jehanamu na ndiko anastahili kuwaHiii Nchi kwa sasa tumekosa kiranja mwenye sauti kuuu. Vichwa vya Treni vimenunuliwa toka kwa muuuzaji hewa Sterling Mbalawa. Bwawa la Nyerere tunaaambiwa hakuna Crane ya kubebea mzigo wa tani 26 hivyo halitajazwa maji ili Umeme uendelee kuwa shida Sterling Makamba.
Wanyama kuwindwa ruksa .. Sterling Ndumbaro. Watumishi vyeti feki ruksa kurejea na kulipwa Sterling Mchengerwa. Mbolea iuzwe mfuko elf 95 badala ya elfu 50 Sterling Prof. Mkenda.
Mgao wa Umeme uendeleee kwasababu wakati wa JPM mashine zilichoka sana kwa kuwashwa muda wooote Makamba tena. Mafuta kupanda Bei licha ya tozo kuondolewa Mpigaji wa Bumbuli. Watumishi Hewa warudi na wapo kwa wingi sasa, Mkwe wetu steringi.
Shule za Serikali kubagazwa kwenye usahihishaji wa Mitihani ili zionekane si kitu Prof Ndchako. Mawe ya utafiti wa Madini na Makinikia ruksa kupelekwa Popote duniani Biteko the Don. Nappe, Membe, Ndugai nk wanaendelea kutia vionjo ili mziki uendelee kunoga.
Yaaaani ni hasira zimetujaaaaaa tunasubiri upenyo muone hasira zetu Watanzania.
Rostam Aziz Mungu anakuona na Kiwanda chako cha Morogoro. Jiwe upumzike Mwamba uliwanyooosha sana hawa Vibwengo lkn ipo siku.
Jiwe alikuwa ni zaidi ya mjanjaNakumbuka kuna wakati TRC walipeleka vichwa vya treni India kwa matengenezo makubwa ( engine overhaul) uenda ndiyo vilikuwa vinarudishwa wakawa wamesahau kuwa ni mali yao.Ilikuwaje vije ndiyo mkataba wa manunuzi ukamilishwe.
Vile vichwa Kwenye kikao kimoja liyekuwa Mkueugenzi WA Bandari Kakoko alitamba kuwa ameketa vichwa vya trend kwaajili ya kusafuriaha mizigo kumpeleka Bandari Kavi RUVU. Aliye MLETA siakaropoka kuwa kuna vichwa having mwenyewe. Nijuavyo Mie walipewa Reli ya katiKuuliza wala siyo ujinga wana JF.
Imenibidi kuwauliza nyie labda kuna mtu ana kumbukumbu ya wapi vilienda vile vichwa vya treni vilivyo okotwa pale bandarini.
Maana tuliambiwa havikuwa na mwenyewe na je hivi leo vipo wapi au alipatikana mwenyewe akavichukua?
Hii Bongo hii wacha kabisaaa
Asante sana mkuu kwa taarifa rasmiVile vichwa Kwenye kikao kimoja liyekuwa Mkueugenzi WA Bandari Kakoko alitamba kuwa ameketa vichwa vya trend kwaajili ya kusafuriaha mizigo kumpeleka Bandari Kavi RUVU. Aliye MLETA siakaropoka kuwa kuna vichwa having mwenyewe. Nijuavyo Mie walipewa Reli ya kati