imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Aaa..wapi yule alikuwa anakiongelea kifo mpaka tulikuwa tunamshangaa, huenda alikuwa anatembea na Santuri ya Remmy Ongala ya KIFO kwenye Suti.Kwani kutokuongelea ndio kutokufa? Kuna watu hawaongelei kufa sababu wanaogopa kifo. Na wakati huo wakijua hawana maajabu yoyote watakayoacha wakifa leo.