Mmmh! Kapigage picha za hivi?

Mmmh! Kapigage picha za hivi?

Nikoje mkuu
20241121_233227.jpg

Hivi
 
Hana shule,ulitaka afanye umalaya?
Sio kila kondakta hajaenda shule mkuu ondoa hiyo dhana potofu,kuna makodakta wana degree ila soko la ajira ndio limewafanya wafanye hiyo kazi,ila wanakipato kukuzidi wewe mwenye ajira na stress za kuzimu unayepokea makombo baada ya bank kuchukua chao ulicho kopa
 
Hujui watoto wa Kali wewe
Ni kweli kabisa ila usisahau macho utafautiana Kaka .
Huyo dada nampenda ,namhusudu nishawahi mpaka kwenda kwenye ofisi zao nikasema Mimi ni baba yake mdogo nahitaji kumuona .

Lijamaa limoja likapiga simu likatoka nje naona lilimueleza muonekano wangu na wajihi wote binti akaomba apewe namba yangu tutawasiliana nahisi alidhani nimeenda kuomba hela .

Siku nne badaye akanipigia nikajua ni yeye ,ni hapo nikaeleza ukweli na kumwambia nahitaji kuwa mmewe na niko tayari kusema ukweli wote wa maisha yangu alinisikiliza then akasema baada ya nusu saa atanipa jibu ila niliambulia block .

So najaribu kukueleza kuwa nampenda ila kwangu namuona ni mzuri Kaka .

Samahani kwa kumpenda yeye ,niache nife
 
Back
Top Bottom