Mmmh! Kapigage picha za hivi?

Mmmh! Kapigage picha za hivi?

Ni kweli kabisa ila usisahau macho utafautiana Kaka .
Huyo dada nampenda ,namhusudu nishawahi mpaka kwenda kwenye ofisi zao nikasema Mimi ni baba yake mdogo nahitaji kumuona .

Lijamaa limoja likapiga simu likatoka nje naona lilimueleza muonekano wangu na wajihi wote binti akaomba apewe namba yangu tutawasiliana nahisi alidhani nimeenda kuomba hela .

Siku nne badaye akanipigia nikajua ni yeye ,ni hapo nikaeleza ukweli na kumwambia nahitaji kuwa mmewe na niko tayari kusema ukweli wote wa maisha yangu alinisikiliza then akasema baada ya nusu saa atanipa jibu ila niliambulia block .

So najaribu kukueleza kuwa nampenda ila kwangu namuona ni mzuri Kaka .

Samahani kwa kumpenda yeye ,niache nife
Ww jamaa lazima utakuwa na matatizo fulani 😂
 
Back
Top Bottom