Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Poor Brain kuna uhusiano gani kati ya vocha na pisi kali au fine girlHamna pisikali hapo ..
Tuna date na ma fine girl watoto wapo clear hata vocha hawaombi kmmke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor Brain kuna uhusiano gani kati ya vocha na pisi kali au fine girlHamna pisikali hapo ..
Tuna date na ma fine girl watoto wapo clear hata vocha hawaombi kmmke
Sasa boss ndio mpaka utukane?Hamna pisikali hapo ..
Tuna date na ma fine girl watoto wapo clear hata vocha hawaombi kmmke
konda wa kampuni ya mabasi ya TILISHO
Swali zuri kabisa...Poor Brain kuna uhusiano gani kati ya vocha na pisi kali au fine girl
Samahan mkuu ngoja ni edit 🙏🙏🙏🙏Sasa boss ndio mpaka utukane?
Kazi ni kaziHisi pisi ilikuwaje hadi akawa kondakta?
Demu sura nzur alafu anafanya kaz haieleweki..!
ni bus HOSTESS, ni kazi ya maana tu, ukipata kampuni nzuriKazi ni kazi
Unavomponda huyo Kama ni Mbovu ungeonyesha kwa Mfano tumuone wako mzuri.Wapi nmesema nataka kuonyesha?
Wap nimesema ni mbovu?Unavomponda huyo Kama ni Mbovu ungeonyesha kwa Mfano tumuone wako mzuri.
La sivyo acha kuropoka
Ww jamaa lazima utakuwa na matatizo fulani 😂Ni kweli kabisa ila usisahau macho utafautiana Kaka .
Huyo dada nampenda ,namhusudu nishawahi mpaka kwenda kwenye ofisi zao nikasema Mimi ni baba yake mdogo nahitaji kumuona .
Lijamaa limoja likapiga simu likatoka nje naona lilimueleza muonekano wangu na wajihi wote binti akaomba apewe namba yangu tutawasiliana nahisi alidhani nimeenda kuomba hela .
Siku nne badaye akanipigia nikajua ni yeye ,ni hapo nikaeleza ukweli na kumwambia nahitaji kuwa mmewe na niko tayari kusema ukweli wote wa maisha yangu alinisikiliza then akasema baada ya nusu saa atanipa jibu ila niliambulia block .
So najaribu kukueleza kuwa nampenda ila kwangu namuona ni mzuri Kaka .
Samahani kwa kumpenda yeye ,niache nife
Matatizo gani Kaka ?Ww jamaa lazima utakuwa na matatizo fulani 😂
Menemene ipo siku ntakupeleka mahakamani aisee daah sijui huwa unafikiria nini kuandika hivi...nimecheka kifala sana hapa.Mademu wazuri wa hivi ,ndiyo zilikuwa ndoto zangu ujanani kuishi nao ,Sasa naishi na paka ,Hawa nikimbahatisha basi lazima mfukoni nibaki apeche alolo
Ww ulichoandika unaona kipo sawa na mpaka ukapigwa kitofali huon kuwa haupo sawa?Matatizo gani Kaka ?
😀😀 Hapana Kaka ,Mimi napenda kuandika uhalisia wangu ,Sasa shida inakuwa vichekesho kwenuMenemene ipo siku ntakupeleka mahakamani aisee daah sijui huwa unafikiria nini kuandika hivi...nimecheka kifala sana hapa.
Hapana Kaka niko sawa kiakili na kiafya ila kila Mara najaribu kuandika uhalisia wa maisha yangu ambayo kwenu ni vichekesho ila ndiyo uhalisia ninayopitia kwasasa .Ww ulichoandika unaona kipo sawa na mpaka ukapigwa kitofali huon kuwa haupo sawa?
Si ka Nice hako?
Kazi ya ukonda wa luxury buses haieleweki? Basi tuna udumavu wa kufikri!Hisi pisi ilikuwaje hadi akawa kondakta?
Demu sura nzur alafu anafanya kaz haieleweki..!
Wengine wazee kabisa na familia zao 🚮🚮🚮Mtu anaishi maisha yake watu wanamchambua mara mbaya mara hana tako
Unakuta kidume kina ndevu uchwara