Yaani kwa leo mmmhhh nimeichukia hii ndoa mimi kha....................
Hata sijui uhakika unapatikanaje mpnz!Ngoja nimuulize mtu swali la kichokozi!Heheh kweli kua na ndugu JF tabu..embu nibembeleze kidogoSante my dear
nahii ndo kitu inayo tikisa maini..
Sasa acha kununa
Tuingie chumbani
damu ni nzito kuliko maji hahahahahahahah lol
Kukimbiana hatuwezi hii ndo shida ya kuwa na ndugu
Yako JF.. mmmmhhhh
Ingia kule tukasameheane
Fynest ehh..embu niambie baba we unataka kuoa?Kama ni ndio kwanini?Ule mpango wetu si uko pale pale???
I can't run and at the same time i can't hide lolAre you trying to run away from me?
hahahshhah lol
kuoa/kuolewa ni moja ya justification ya selfishness ya mwanadamu...........huyu wangu, wangu peke yangu...just selfishness basi
Na wanaopata hilo TENDO LA NDOA alafu hawazai wao wanafaidika nini na hizo NDOA!?
Shikamoo da Maty
Eti unaweza kumpenda
mtu alie kukosea kama ulivyompenda
mara ya kwAnza..?
Hata sijui uhakika unapatikanaje mpnz!Ngoja nimuulize mtu swali la kichokozi!Heheh kweli kua na ndugu JF tabu..embu nibembeleze kidogo
Lizzy Lizzy wanitakia nini mimi mtoto wa mwenzioFynest ehh..embu niambie baba we unataka kuoa?Kama ni ndio kwanini?
Kuoa/kuolewa ni moja ya justification ya selfishness ya mwanadamu...........huyu wangu, wangu peke yangu...just selfishness basi
Digna...........aksante kwa kunichekesha asubuhi.................... dah
AD......... kuna sababu nyingi tu zinazowafanya watu waoe/olewe na hiyo ya upendo wa hali ya juu ni mojawapo ambayo kwa bahati mbaya pamoja na kuwa ni ya muhimu but ni wachache waliobahatika kutunukiwa.
Wengine huoa/olewa kwa sababu either muda umefika
Wengine kwa kuwa marafiki na wenzi wa rika lao wote wameoa/olewa so wanaona na wao hawana budi
Wengine ndugu wanawaforce kuoa/olewa
Wengine wanategeshewa (hasa wanaume) galfriend anabeba mimba so wanazuia mtoto kuzaliwa out of wedlock
Wengine kutokana na ugumu wa maisha (umasikini)
n.k.
So sababu ni nyingi tu AD.
Unataka kuolewa?
Marahaba mdogo wangu,
inakuwaga ngumu kidogo na inachukua muda.
Ila mtu aliekosea akaja kugundua kosa lake, akarudi akaomba msamaha huwa anakuja kuwa mzuri zaidi baadae na ukajikuta umempenda tena.
Ila huwa inachukua muda kidogo kwa uliekosewa kumpenda tena kama zamani na inabidi kujitahidi kuliko uanze kumpenda mwingine.
Lizzy Lizzy wanitakia nini mimi mtoto wa mwenzio
1. Ndio nataka kuoa yaani ukinikata na kiwembe au kisu damu ya mwili wangu inatoka na maneno yanayoonekana kuwa nataka kuoa
2. Nataka kuoa kwasababu:Nampenda na Nitamlinda, Yaani huyu mke wangu mtarajiwa ana akili kuliko hata Yusufu Makamba, Sio mwanachama wa CCM, Sioi kwasababu nataka anizalie watoto la hasha ila kwasababu nampenda yeye
It is always to acknowledge a mistake pale mtu unapokuwa umemkosea mwenzi wako mfano "NAOMBA UNISAMEHE MKE WANGU SAMAHANI KWA KUKUKOSEA", au "NAOMBA UNISAMEHE MUME WANGU SAMAHANI KWA KUKUKOSEA" hii huwa inaepusha mambo mengine na kama mtu sio wale wa kuweka vinyongo ambao baadae unaweza kufanya kitu kidogo akaanza kusema "Si unakumba kosa la siku ile halafu nikakusamehe" watu wa aina hii daima sio wazuri maana anakuwa hajakusamehe anakuwekea kinyongo anasubiri siku ukifanya kosa dogo akukumbushie yale ya zamani.Lakini sasa Da Maty
Yale maugomvi ya hapa n a pale
Siyanaweza kitibua kidonda kikubwa
Maana saa nyingine haijalishi miaka mingapi
imepita mtu hawezi sahau..