JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kumbe jana ilikuwa ni Oktoba 11😳😳😳Produza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Oktoba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta.
Abbah anaeleza aliyefariki ni Nabeel, Kaka wa Dancer @poshboy_yd ambaye yeye ndiye alikuwa Dereva wa gari hilo na alifariki wakiwa njiani kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi!
Chanzo: Clouds FM
Wanaweka wine, k vant nkIsijekuwa walikuwa pombe, hivyo viglasi sijui bilauri huwa wanaweka nini? Kila muda wanavyo hata saa 8 mchana barabarani.
Rest in peace!
Wajinga Ni Wengi SanaKumbe jana ilikuwa ni Oktoba 11😳😳😳
Aiseee
Itoshe tu kusema mwendo mkali ndio chanzo Cha ajaliProduza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Oktoba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta.
Abbah anaeleza aliyefariki ni Nabeel, Kaka wa Dancer @poshboy_yd ambaye yeye ndiye alikuwa Dereva wa gari hilo na alifariki wakiwa njiani kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi!
Chanzo: Clouds FM
Vigari vyenyewe automaticShida ya wasanii wengi wamejua magari mda sio mtefu halafu unataka kwenda safari ya mbali bila uzoefu...mungu kawanusuru ukiangalia lori mpka limetoka nje ya barabara
Kuna elimu yoyote naikosa hapa mkuu?Wajinga Ni Wengi Sana
Jana Ni 11.11.023
Kabisa mkuu ukiona ajali zao nyingi ni wao kupinduka au kugonga...unajifunza gari leo baada ya miezi 6 unasafiri nalo lazima likutoe rohoVigari vyenyewe automatic
Ukiwapa hii wengi wanachemsha
Mbio ndefu inataka uzoefu,syo kukanyaga tu
Ova
View attachment 2811548