Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Usalama wa Taifa ishu zao ni nyingi mno, unaweza kuona ameuwawa kwa sababu ya Usalama wa Taifa.!

It is one of the number one bogus jobs,its better for one to be born a woman than beng.....
 
Tumkumbuke na yule aliye uwawa wakati anatwengenezesha gari yake gereji.
'shirika moja kampuni tofauti'
 
Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.

naanza kupata picha!!! ccm kazini
 

kama ni yeye basi Rizone atakuwa amefanya mpango ili amiliki mwenyewe......:frusty:
 
matatizo ya kula kiporo na kulala mchana,lazima uote ndoto
 
na dr.slaa atulie sasa. Ishu za wake za watu sio nzuri
 
Kuua hakuzuii taarifa kutoka. Zitatoka maana ni sisi kwa sisi. Nina maana ni watanzania kwa watanzania). Cha muhimu tutengeneze nyumba yetu iwe salama. Kamwe hakuna aliye juu ya sheria au aliye bora nchi hii. Vijembe, kiburi na majingambo ya ccm dhidi ya watanzania walala hoi hayataacha 'usalama ukae salama'. Taarifa chafu za dhuruma haziifaziki...zitatoka tu ili nchi ipone.
 
au labda majambazi walijua kuna kichele sikuhizi wafanyakazi wa benki nao si wanatonya navyosikia.

Mkuu hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe! Kama ni wenzie waliomdedisha inatakiwa watengeneze mazingira kuonyesha ni tukio la kijambazi!! Usikute hata hiyo briefcase haina chochote cha maana lakini wamefanya hvyo ili ionekane ni tukio la unyang'anyi (ujambazi)
 

familia ya mkulu huwa tumia vibaya sana hao jamaa!!! inaonekana wazi ni kupishana maneno na familia ya mkulu ndio imepekea jamaa kupoteza maisha.
 
Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.

Alimficha kwenye hilo begi?
 
"hata wakristo tunaamini"
inamaana umeshasilimu
!??
kadoda11 hebu msome vizuri huyu mfiadini

nimemsoma kwa "utuvu".hawezi kupost bila kuitaja dini yake.
juzi alidai eti inbox yake imejaa PM za wana-diasporas walio ktk movement ya kudai dual citizenship.najiuliza mpaka leo ni aina gani ya diasporas wamekubari kumtumia/kutumiwa na mfia dini huyu.hala hala wasije tu wakaingizwa ktk organization za kigaidi unwillingly.
 
Last edited by a moderator:
inawezekana ndio alie kuwa anatoa data kwa wapinzani wa ccm!
 
Mkuu una-beep eeeh.. Utapigiwa soon.. jamaa wana roho ya kutu.. wanajitafuna hata wenyewe kwa wenyewe..

We muache apime sumu kwa kuionja!! Wenyewe wapo humu, watamtrace mpaka mtaa anaoishi, alafu wamuamishie mabwepande wakamfanyie uchunguzi wa kinywa na kucha.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…