hiyo taarifa ilikuwa dis-classified lini? au unabeba propaganda za taasisi dhidi ya watendaji wake wasizisaliti? au unataka kutuambia mwakyembe na mwandosya walishughulikiwa in the same styleMkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani aliuawa kwa sumu iliyowekwa kwenye Toilet Paper na Maafisa wa Kitengo cha kupambana na Ugaidi kilichomo ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa baada ya kuonesha kutokujiamini kwenye Maamuzi ya kulinda Usalama wa Wamarekani. US Intelligence believe 'Security and Safety of the Nation Cannot be Compromised just for the sake of adhere the so called 'Bill of Human Right'
mkurugenzi wa usalama wa taifa wa marekani aliuawa kwa sumu iliyowekwa kwenye toilet paper na maafisa wa kitengo cha kupambana na ugaidi kilichomo ndani ya idara ya usalama wa taifa baada ya kuonesha kutokujiamini kwenye maamuzi ya kulinda usalama wa wamarekani. Us intelligence believe 'security and safety of the nation cannot be compromised just for the sake of adhere the so called 'bill of human right'
"jana mida ya jioni majambaz yasiyofahamika yalimvamia bwana Mzeru na kumnyofoa moyo kwa kutumia kisu butu, yakampofoa macho, yakamwagia maji ya moto halafu yakamnyonyoa nywele zote kisha yakamtupa mtaroni na kumshindilia na jiwe lenye kilo 55" nadhani nimekufurahisha kwa maelezo hayo ya kinyama. (una roho ngumu wewe)
Basi ameuawa kibinadamu... Inside job.
Kawaida kwa usalama wa taifa kuuwawa unapoenda kinyume na wakubwa
Kwa namna yoyote mauaji hayawezi kuitwa ya kinyama. Mauaji ya kinyama mtu hana shingo, kakatwa kiuno vipande viwili huyu kauawa tu. Tunangija taarifa zaidi, jf kuna mambo!
Hao Tanzania Daima wamejuaje kama yeye ni afisa mwandamizi wa TISS?Ofisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa nchini Bwana Silvanus Mzeru ameuwawa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha.
Kwahiyo kushindiliwa risasi kama mnyama pori siyo kuuawa kinyama?Kwahiyo walimuua kwa starehe au vipi?
Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
Ofisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa nchini Bwana Silvanus Mzeru ameuwawa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha. Mauwaji hayo ambayo taarifa zake zimeibua hofu kubwa, yalitokea jana jioni katika mataa ya barabarani ya karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Habari zinasema mara baada ya kufanyika kwa tukio hilo la kinyama wauwaji hao waliondoka na briefcase ya marehemu huyo ambayo haijajulikani ndani yake ilikuwa na vitu gani.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, kabla ya kuuwawa kwa Mzeru watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki walirusha risasi kuelekea katika gari yake.
"Baada ya risasi hizo kurindima, Mzeru aliendesha gari lake kwa kasi na kwenda kugonga magari mengine yaliyokuwa mbele yake na kisha gari lake kutumbukia mtaroni" Alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo.
Mashuhuda hao waliongeza kuwa wauwaji wa Mzeru walimfuata katika mtaro na kuumua kabla ya kuondoka na briefcase iliyokuwa kwenye gari.
Chanzo: Tanzanidaima Toleo namba 3436 Uk 3 la leo Alhamisi, Mei 1 2014.
Mytake:
Kama watu wa usalama wa Taifa wanaweza kuuwawa kinyama kiasi hicho, vipi kuhusu raia wa kawaida?! Kama raia wa kawaida wamekuwa wanapigwa risasi na kuuwa kwa mabomu kwenye mikutano ya vyama vya siasa na waliopaswa kulinda usalama wao, Kumbe haina tofauti na watu wa usalama wa Taifa?! Kama usalama wa taifa huwa wanalalamikiwa kwa kuteka na kutesa kama ilivyosemwa kwa Dr Ulimboka, Nani yuko salama?
ukawa ndio mdudu gani? Mke wa mtu ni sumu..bado slaa aliempora mahimbo mkewe
Na cha kusikitisha zaidi... HIZO pikipiki unakuta ndio CCM WANAZIITA BODABODA... Wanazileta toka CHINA halafu wanawagawia VIJANA bila hata kufuatilia historia zao... ISIPOKUWA TU WAKIIMBA CCM kwa HASIRA NGUVU na UZANDIKI hapo CCM -- NAPE NNAUYE na KINANA wanawapa hizo PIKIPIKI...
Kwahiyo CCM kweli hawajui au wanajua SILAHA wanazozigawa NCHINI kwa VIJANA wa CCM BODABODA ndio hizo hizo zitatumika pia kuwashambulia wao NDANI ya CCM...
HAKUNA CHOCHOTE cha BURE kisichokuwa na DHIHAKA...
Hao Tanzania Daima wamejuaje kama yeye ni afisa mwandamizi wa TISS?
HahahaNi watu wa usalama wamemmaliza...Kuna taarifa nyeti nikiwa tayari ntaziweka hapa