Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

hawa ni majambazi ndio wame muua.
 
Chini ya utawala wa Chama Cha Mashetani hakuna haki wala kulinda wala usalama wa Taifa ,wala usitegemee kuwepo amani ,MaCCM wameivuruga nchi na wanaendea kuivuruga ili wafanikishe miradi yao.
 
Mnaweza kukomaa humu kwamba wanauana wenyewe kumbe mambo ya Kagame hayo.
 
ya ngoswe tuwachie ma-ngoswe wenyewe! kama unafatilia kuhusu hizi intelligence agencies ni kawaida sana(kama kweli linahusiana) huwa wanajua the consquences kwa kwenda kinyume ikiwemo death penalty. wanakuwa wameapa na kukubali kila kitu. tena unaweza kuta jamaa alikuwa anakimbia nchi. we never know! Mohamedi Mtoi

ila yawezekana. Kusaliti nchi ni kitu kibaya sana. Nawapongeza kama walifanya kwa dhamira nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Chini ya utawala wa Chama Cha Mashetani hakuna haki wala kulinda wala usalama wa Taifa ,wala usitegemee kuwepo amani ,MaCCM wameivuruga nchi na wanaendea kuivuruga ili wafanikishe miradi yao.

tanzania inaongoza kwa kuwa na amani na utulivu
 
Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
unaambiwa wamechukua koba, ndio mbuguma? Ni heri tu ungesema mbwa kala mwanae!
 
Kuna afisa usalama wa Taifa aliyeuawa maeneo Tegeta,DSM, kesi imeishia wapi? Hii habari niliipata humu JF.
Huyu aliyeuawa karibu na JKNIA,wauaji wakachukua briefcase yake,huenda ni issue ya unga/sembe. Hii biashara ni hatari sana,wazee wa unga wanamwandaa MTU wao kuwa Rais.
Ni HATARI kuliko unavyoweza kuwaza.
 
tofautisha maslahi ya taifa kwaajili ya umma na maslahi ya wachache walio tayari kwa lolote ili tu hii keki waigawane wao.

Nimeweka Taarifa na Habari juu ya Utendaji kazi wa TISS Duniani, hakuna sehemu niliyoweka Maoni yangu binafsi. Jazba zinawafanya msome bila ya ku analyse. Rudia kusoma utaelewa nilichoandika.
 
naomba kujua kati ya silvanus mzeru na mbena malumbi nani aliyeuwawa hapo karibu na uwanja wa ndege.huyu mzeru ndio anahusika na majengo na mradi mkubwa wa chilakale resort huko moro wakihusiana na familia ya mkuu wa kaya wamejimilikisha hadi mlima wa uluguru kote ni majengo tuuu km uyoga. Kwa wale waliofika chilakale resort hata mabango ya hiyo miradi client ameandikwa ni mzeru.tokea kifo chake kuvuma tokea jana maskari wametanda huko bigwa kwenye hiyo miradi.je kwann hayaaa kuna nn hapa.nahisi kuna mengi nyuma ya pazia na vile familia ya mkuu wa kaya ilionekana ikija kutembelea hiyo miradi.....

duh! Kumbe iko hivyo ? Eee bhana eee !
 
huyo "b'nkubwa" FaizaFoxy hana lolote.ameshajua next year taifa linaenda kupata raisi mkristu.machale yamemcheza,ameanza kubadirika mapema.still haimuondoi ktk top 10 list of JF most extremist members of all time.FF ni mdini bigtime.

Kiswahili ni lugha yako ya Taifa, kuwa mzalendo kwa kuandika Kiswahili ipasavyo.

Ikiwa Uislaam wangu ndio kwako udini, basi utahangaika sana, nnaupenda Uislaam kuliko kingine chochote duniani.
 
Huwezi kujua nini kimetokea,


Ni vyema kuwaachia polisi wafanye uchunguzi. Binadamu wana mambo mengi sana.


Nakumbuka mwaka 1989 pale Iringa jamaa alilipua ofisi ya UWT na petroli wakati wakiwa kwenye mkutano na waliokuwemo waliungua vibaya sana.

Ila michepuko nayo mwisho wake ni mauti...
Mnyalu ulipotea sana karibu ndugu zako wanatulazimiasha tuisahau Tanganyika
 
Mkuu, ni chadema ndio waligawa pikipiki ambazo zinatumiwa na majambazi

Ukifuatilia picha hizi na Wilaya Tukio lilipotokea na kuunganisha DOT sidhani kama utarudia tena kuandika UPUUZI huu

IMG_5957.jpg


Waendesha boda boda wa Gongo la Mboto wakitia mbwembwe katika mkutano wa hadhara ulioenda sambamba na sherehe za kumpongeza Jerry Silaa aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

IMG_5916.jpg


Msafara wa waendesha Boda boda ukimsindikiza Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jerry Silaa kwenye viwanja vya Gongo la Mboto alipoandaliwa sherehe ya kumpongeza iliyoenda sambamba na mkutano wa hadhara.
 
Back
Top Bottom