Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Kuna kitisho hapo?Una tatizo gani wewe? Mbona unatoa vitisho vya mbwa koko hapa?
Au unababaika tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitisho hapo?Una tatizo gani wewe? Mbona unatoa vitisho vya mbwa koko hapa?
Soma sheria ipo ya 1972 ukiwa na pesa kuanzia 100 unarubusiwa kuomba escort sasa sheria gani unataka?Nadhani kuna haja ya kutunga sheria pia ya kiwango cha fedha unachotakiwa kukaa nacho, wengine kidogo hakuna namna kama huyo ambae ameibiwa 1.2m kwani yupo kijijini taasisi za fedha hakuna lakini wengine mtu anaibiwa 25 milioni au zaidi na yupo hapo Dar kiasi kwamba unashindwa kuelewa mtu 25 - 40 million aliziweka ndani za nini, ifike mahali mtu kama ni mfanya biashara mzigo unaozidi kiwango flani cha fedha lazima ulipwe kupitia bank. Haya mambo kila kitu kinalipwa kwa cash wakati mwingine ndio inasababisha haya mambo na majambazi huwa hayakosei yakiingia sehemu yana taarifa kabisa ya kiwango cha fedha ulichonacho
Usalama wa Taifa ishu zao ni nyingi mno, unaweza kuona ameuwawa kwa sababu ya Usalama wa Taifa.!
Nimegundua vijana wa ccm wana akili za mijusiKwa hiyo ile Briefcase ndio ilikuwa na yule Mke wa watu? Unaposema serikali iimarishe ulinzi wa raia wake je hiyo serikali ni nani na huyu aliyeuawa si mmoja wa hiyo Serikali kama yeye ameuawa hao raia watalindwaje?
Tujaribu kuwa na huruma... Silva kwa tuliomfahamu Alikuwa mkarimu na mnyenyekevu! Mwenyezi mungu amtangulie na ampe kauli mbele ya haki. Sote waja , huo ndo mwisho wetu, kifo hakina huruma.He might have been a threat to national security. " enemy of state".
matatizo ya kula kiporo na kulala mchana,lazima uote ndoto
kama ni yeye basi Rizone atakuwa amefanya mpango ili amiliki mwenyewe......:frusty:
TANZANIA ni nchi ya amani na utulivu!
Usalama wa Taifa ishu zao ni nyingi mno, unaweza kuona ameuwawa kwa sababu ya Usalama wa Taifa.!
TANZANIA ni nchi ya amani na utulivu!
Hivi yule mbunge wa Chalinze alikufa kwa nini vile?...........................
Na cha kusikitisha zaidi... HIZO pikipiki unakuta ndio CCM WANAZIITA BODABODA... Wanazileta toka CHINA halafu wanawagawia VIJANA bila hata kufuatilia historia zao... ISIPOKUWA TU WAKIIMBA CCM kwa HASIRA NGUVU na UZANDIKI hapo CCM -- NAPE NNAUYE na KINANA wanawapa hizo PIKIPIKI...
Kwahiyo CCM kweli hawajui au wanajua SILAHA wanazozigawa NCHINI kwa VIJANA wa CCM BODABODA ndio hizo hizo zitatumika pia kuwashambulia wao NDANI ya CCM...
HAKUNA CHOCHOTE cha BURE kisichokuwa na DHIHAKA...