Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Nadhani kuna haja ya kutunga sheria pia ya kiwango cha fedha unachotakiwa kukaa nacho, wengine kidogo hakuna namna kama huyo ambae ameibiwa 1.2m kwani yupo kijijini taasisi za fedha hakuna lakini wengine mtu anaibiwa 25 milioni au zaidi na yupo hapo Dar kiasi kwamba unashindwa kuelewa mtu 25 - 40 million aliziweka ndani za nini, ifike mahali mtu kama ni mfanya biashara mzigo unaozidi kiwango flani cha fedha lazima ulipwe kupitia bank. Haya mambo kila kitu kinalipwa kwa cash wakati mwingine ndio inasababisha haya mambo na majambazi huwa hayakosei yakiingia sehemu yana taarifa kabisa ya kiwango cha fedha ulichonacho
Soma sheria ipo ya 1972 ukiwa na pesa kuanzia 100 unarubusiwa kuomba escort sasa sheria gani unataka?
 
Pikipiki hazifai kabisa coz zinakuwa nyezo za kukamilisha vitendo vya uhalifu hasa ujambazi. Hazifai kabisa maeneo yote.
 
Kwa hiyo ile Briefcase ndio ilikuwa na yule Mke wa watu? Unaposema serikali iimarishe ulinzi wa raia wake je hiyo serikali ni nani na huyu aliyeuawa si mmoja wa hiyo Serikali kama yeye ameuawa hao raia watalindwaje?
Nimegundua vijana wa ccm wana akili za mijusi
 
ni gharana kiasi gani utaingia kama ukiamua kuomba askari ili wakusindikize? si zaidi ya elfu hamsini na unakuwa na ulinzi wa uhakika. huu ujinga mwingine wa kuangalia faida tuu bila kutaka matumiziz mazao yake ndo hayo
 
He might have been a threat to national security. " enemy of state".
Tujaribu kuwa na huruma... Silva kwa tuliomfahamu Alikuwa mkarimu na mnyenyekevu! Mwenyezi mungu amtangulie na ampe kauli mbele ya haki. Sote waja , huo ndo mwisho wetu, kifo hakina huruma.
 
Alikuwa anatoka nchi gani? au kama mzigo alioufuata airport kaupokea kutoka nchi gani? alikuwa anaelekea wapi? kama ni siri za nchi kwa nini asafirishe peke yake?
 
Lord have mercy on the people of Tz, will remember you for life Mzeru, and all who have passed away in these situations and otherwise
 
TANZANIA ni nchi ya amani na utulivu!

Hakuna Amani bila haki na haki huinua taifa we unafikiri kwa nini bado tuu mafukara wakati Mungu katujaalia kila kitu Tanzania kuna mazoba amani haipo.
 
TANZANIA ni nchi ya amani na utulivu!

nkongu ndasu;

Angalia kichwa cha thread ndipo uchangie. Askari wa Usalama wa Taifa ameuawa kikatili kwa kupigwa risasi, wewe unakuja na ngonjera za TANZANIA ni nchi ya amani na utulivu! Kweli? You must be really joking. Maybe you're a day dreamer! Amani na Utulivu wa nchi ya Tanzania uliondoka na waasisi wa Taifa hili Mwalimu J.K.Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume!

Tumeanza kushuhudia mauaji ya Kisiasa Tanzania kwa mara ya kwanza kule Pemba mwaka 2001 walipouawa wafuasi wa CUF 21 waiokuwa wakiandamana kupinga matokeo ya Urais Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2000 baada ya CUF kudhulumiwa ushindi na CCM chini ya Ben Mkapa.Hii ilikuwa miaka 2 tu baada ya Kifo cha Baba wa Taifa.Tangu hapo nchi imeingia kwenye laana ya mauaji ya Wanasiasa, Wanausalama na Raia pia.

Kama Raia anaweza kuuawa kwa kuchinjwa kama kuku au kuteswa kwa kunyofolewa macho,kucha na meno na Serikali hiyo hiyo, unashangaa nini katika mazingira hayohayo Raia nao wanapoamua kulipiza kisasi???

Ukweli ni kwamba CCM nchi imewashinda na tutaendelea kushuhudia mauaji kama haya kila kukicha. Dawa iliyobakia kwa sasa ni kupigania Katiba mpya na baadaye kuing'oa serikali dhalimu ya CCM ili kurudisha AMAN na UTULIVI kama ulivoachwa na waasisi wetu.
 
Hivi yule mbunge wa Chalinze alikufa kwa nini vile?...........................

Watu mnajua kufukunua lol kwa hiyo unataka kuseme kuna majimbo maalumu kwa watu maalumu ngoja ukawa watuamshe tupate serikali3 hihaitaweza pata nafasi.
 
Hakuna hilo tukio aliwezi tokea tanzania,
Tanzania ni nchi ya amani na utulivu,
 


Na cha kusikitisha zaidi... HIZO pikipiki unakuta ndio CCM WANAZIITA BODABODA... Wanazileta toka CHINA halafu wanawagawia VIJANA bila hata kufuatilia historia zao... ISIPOKUWA TU WAKIIMBA CCM kwa HASIRA NGUVU na UZANDIKI hapo CCM -- NAPE NNAUYE na KINANA wanawapa hizo PIKIPIKI...

Kwahiyo CCM kweli hawajui au wanajua SILAHA wanazozigawa NCHINI kwa VIJANA wa CCM BODABODA ndio hizo hizo zitatumika pia kuwashambulia wao NDANI ya CCM...

HAKUNA CHOCHOTE cha BURE kisichokuwa na DHIHAKA...

We jamaa sasa ndo umeandika nini hiki? Watu wanalisha familia, wanasomesha watoto kwa sababu ya hizi bodaboda! Wewe unabeza kisa majambazi?, yani watu wasizitumie kwa shughuli za kiuchumi kisa ujambazi? Huko nyuma ujambazi haukuwepo? Acheni kufikiri kwa kutumia akili za vyama vyenu jamani!
 
Back
Top Bottom