Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport


They sent clear message, a comprehensive package no need for other unnecessary covert!
 
Maarufu kama mbena malumbi kafanya maendeleo sana moro.hakika wengi wataathirika maana alikuwa na wafanyakaz weng ktk investment zake
 
ni gharana kiasi gani utaingia kama ukiamua kuomba askari ili wakusindikize? si zaidi ya elfu hamsini na unakuwa na ulinzi wa uhakika. huu ujinga mwingine wa kuangalia faida tuu bila kutaka matumiziz mazao yake ndo hayo

kama wanakwenda piga dili chafu ulinz hawawez kuomba.
 
Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
Nakubaliana nawewe mkuu,hawa jamaa wamezidi kuchukua wake za watu hasa makazini huko wanawatishatisha tu!
 
Mkuu na ww uwezo wako wa kuchangia ndio umefikia hapa? Sasa si bora uwe msomaji tu.

Uwezo wako wakufikiri unapoishia mm ndipo napojazia, kwani s3 mnazitaka? mbona yule mzenji mlivua ubunge? Kwa ccm mbona kawaida?
 

Kazi ya usalama wa taifa ni kazi nyeti na wanaofanya hiyo kazi wamejitolea maana wanakuwa na siri nzito za nchi husika kuuawa hutokea sana iwapo wanasiasa wanashindana katika kuwania uongozi inabidi kuwaondoa na kuwaua baadhi wenye siri nzito dhidi yao au wenye mafaili yao. Pia iwapo wana file la kigogo dhidi ya kesi fulani mhusika aliyekusanya habari za kiusalama na kuwa nazo huuawa. Angalizo kuuawa kwa wanausalama wa taifa hakuhusini na kwamba usalama wa raia wa kawaida utakuwaje hiyo ipo hata nchi zilizoendelea kama za Ulaya na Marekani ingawa raia wa nchi hizo wako salama
 
Mhhhh!!! Msalama anauwa ki rahisi hivyo!!!

Haya bana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…