Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Police hawatungi sheria, hiyo ni kazi ya Bunge, wao ni wasimamizi/watekelezaji wa sheria.
 
The trouble with laws these days is that criminal know their rights better than their wrongs
 
pikipiki zipigwe risasi? au madereva wa pikipiki ndio wapigwe risasi?
 
Je umejiuliza kwanini safari hii majina ya wafungwa waliopewa msamaha na Rais siku ya sikukuu ya muungano hayakutamgazwa magazetini kama ilivyo kawaida huko siku za nyuma? Majambazi wengi ambao ndio wafadhili wakuu wa CCM wakiwemo wale wa EPA wamepewa msamaha hivyo haikuwa sawa majina yao kutolewa hadaharani kwani siri ya CCM ingejulikana!!!
 
Maafisa wa polisi wanahusika kupanga nakutekeleza vitendo vya uhalifu sehemu mbalimbali hapa nchini ukizingatia sisi wananchi hatuna sehemu ya kusemea au kusikilizwa pindi tunapo toa taarifa za siri juu ya tabia zao inasikitisha xana tunapoona wanawakamata watu wasio na hatia nakuwaazibu bila hatia
 
Dah aliacha vioo wazi? Tatizo sio piki piki mbona nchi zote kuna hizo mtrbikes? Just police hawafanyi kazi yao
Tumejisahau kama nchi na kujenga mfumo ambao riziki haitafutwi tena kwa BIDII NA MAARIFA bali kwa ujanja na maguvu! Baadhi wanajuidanganya kuwa 'wataongeza ulinzi binafsi' lakini haitawapa faraja maana wajomba, kaka, wadogo, shangazi dada zao watakuwa victims wa huu ujambazi.
Cha kujiuliza labda ni nani hawa majambazi na ni kitu gani kinawapelekea 'kuchagua' hii kazi mbaya na ngumu!?

vioo alifunga na majambazi walichukua hella kidogo nyingi zilibaki .kwenye begi .wanainchi waliwarushia mawe majambazi wakakimbia kuelekea banana .na huohuo askari nao wakafika kwenye eneo la tukio
 
Hii yako chiki binafsi. Hujali mtu aliye uwawa na wala hufikiri familia yake imebaki vp! Mtz badilika hiyo siasa wala hatakujenga kwa mtindo huo.
 
!
!
ndio huwa tunafikiria sana hasa ahadi kedekede alizotuahidi.........na hili la ajira alisisitiza sana naona inatimia taratibu

Kijana hakuna wakati zimeibuka kazi nyingi Tanzzania hii kama wakati huu wa Kikwete.

Kumbuka, ujambazi haukuanza leo Tanzania a hautakwisha leo Tanzania. Nyerere si ndiyo alikuwa mkali na dikteta na wakati wake ndio uliposhamiri ujambazi, tuulize tuliokuwepo.

Usiwe kama kijana ambae hajasoma au haelewi anachokisoma.
 
kuish bila polisi inawezekana,wewe kama huamin shauri yako,,,polisi wenyewe ndo hawa kila siku wanafukuzwa kwa ujambaz,tukio la wizi wa Barclay Polisi wanahusishwa na waligawana mil 20,nenda makao makuu watakupa ripot,me polis siwapend na nawachukia,na sitabadi huo msimamo wangu kwa maneno yako Mgirik
 
Last edited by a moderator:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…