Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Unaongelea matamko ya Ufipa?Na bosi wako nae unadhani huwa anafikiri kabla ya kutoa matamko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea matamko ya Ufipa?Na bosi wako nae unadhani huwa anafikiri kabla ya kutoa matamko?
Unaongelea matamko ya Ufipa?
Kuna haja ya jeshi la polisi kuweka sheria watu hawaruhusiwi kutembea na kiasi kikubwa cha fedha bila ulinzi.
Hivi mtu unajibebea mamilion tena huna hata hofu.
Kwa jins matukio yanavyozidi huu ni mchezo wa majambaz na wahusika wa karibu na alieibiwa.
Tusubiri uchunguzi
Inasikitisha sana polisi wao kazi yao kukamata machinga tu, pale mataa polisi wana kibanda chao lakini hawana msaada wowote.
Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe risasi
Nilikua hapo mkuu nimekimbia vbya sana acha kabisa mbele ya mtutu
Tumejisahau kama nchi na kujenga mfumo ambao riziki haitafutwi tena kwa BIDII NA MAARIFA bali kwa ujanja na maguvu! Baadhi wanajuidanganya kuwa 'wataongeza ulinzi binafsi' lakini haitawapa faraja maana wajomba, kaka, wadogo, shangazi dada zao watakuwa victims wa huu ujambazi.Dah aliacha vioo wazi? Tatizo sio piki piki mbona nchi zote kuna hizo mtrbikes? Just police hawafanyi kazi yao
Hivi huwa mnafikiri kabla ya kuandika?
!
!
ndio huwa tunafikiria sana hasa ahadi kedekede alizotuahidi.........na hili la ajira alisisitiza sana naona inatimia taratibu
watu kama nyie huwa nawafananisha na mtoto wa miaka 5 ambaye anazira kula chakula kwavile kachapwa na baba yake au anasema kabisa baba simpendi. Lakin siku kama hana hela ya kununua icecream anaenda kuomba tena kwa baba yule yule..... Ww unaongea hapa lakin siku ukitiwa ngeu lazma uende polis kufungua kes au kuchikua pf3 au ukiibiwa unakuwa wa kwanza kujichekesha polis huko huko. Uwapende au usiwapende lakin utaenda tu kuwalilia msaada