Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
watu kama nyie huwa nawafananisha na mtoto wa miaka 5 ambaye anazira kula chakula kwavile kachapwa na baba yake au anasema kabisa baba simpendi. Lakin siku kama hana hela ya kununua icecream anaenda kuomba tena kwa baba yule yule..... Ww unaongea hapa lakin siku ukitiwa ngeu lazma uende polis kufungua kes au kuchikua pf3 au ukiibiwa unakuwa wa kwanza kujichekesha polis huko huko. Uwapende au usiwapende lakin utaenda tu kuwalilia msaada
kuish bila polisi inawezekana,wewe kama huamin shauri yako,,,polisi wenyewe ndo hawa kila siku wanafukuzwa kwa ujambaz,tukio la wizi wa Barclay Polisi wanahusishwa na waligawana mil 20,nenda makao makuu watakupa ripot,me polis siwapend na nawachukia,na sitabadi huo msimamo wangu kwa maneno yako Mgirik
Last edited by a moderator: