Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

watu kama nyie huwa nawafananisha na mtoto wa miaka 5 ambaye anazira kula chakula kwavile kachapwa na baba yake au anasema kabisa baba simpendi. Lakin siku kama hana hela ya kununua icecream anaenda kuomba tena kwa baba yule yule..... Ww unaongea hapa lakin siku ukitiwa ngeu lazma uende polis kufungua kes au kuchikua pf3 au ukiibiwa unakuwa wa kwanza kujichekesha polis huko huko. Uwapende au usiwapende lakin utaenda tu kuwalilia msaada

kuish bila polisi inawezekana,wewe kama huamin shauri yako,,,polisi wenyewe ndo hawa kila siku wanafukuzwa kwa ujambaz,tukio la wizi wa Barclay Polisi wanahusishwa na waligawana mil 20,nenda makao makuu watakupa ripot,me polis siwapend na nawachukia,na sitabadi huo msimamo wangu kwa maneno yako Mgirik
 
Last edited by a moderator:

Watu waliokuwa wanatumia
pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora
begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe
risasi

Acha uongo. Pkpk hazijaua. Majambazi ndio walioua. MAJAMBAZI NDIO WATOLEWE MJINI
 
Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe risasi

Pikipiki zinaleta ghasia tu mjini. Bora hata boda boda.
 
ni kweli jambo la ujambazi ni baya lakini mleta mada umepanic .......... eti zikionekana mjini zipigwe risasi hapa umechapia
 
Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe risasi

Chadema.
 
Dah aliacha vioo wazi? Tatizo sio piki piki mbona nchi zote kuna hizo mtrbikes? Just police hawafanyi kazi yao

Ipi? Ya kumsindikiza kila raia mmoja mmoja anapoenda ktk shughuli zake or? Wahanga wenyewe ndio wanauzana, we mtu atajuaje kama fulani ana hela nyingi ndani ya gari kama sio information kutoka ndani ya wahanga!
 
Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe risasi

Me mwenyewe bodaboda sasa nazichukia.
 
Mkuu hili ni tatizo, wala hatuhitaji kupingana wala kuwasingizia police. Wote tunajua miundombinu yetu ilivyo, idadi ya pikipiki zilivyo nyingi, idadi ya police ilivyo kidogo na mazingira kwa ujumla. Pikipiki ni tatizo kiusalama kwa mazingira ya nchi yetu

Tatizo letu Wadanganyika!! Polisi wanafanya kazi zao sawa sawa, kuna mambo mengi yanachangia miundombinu yetu mibovu mnoo, aidha tujiulize je polis mmoja anatakiwa kulinda watu wangapi? Pia sheria yetu ya fedha nadhani inamtaka mtu akiwa na zaidi ya milioni aombe escort.
 
Ni pesa binafsi ama za shirika ( chama, vicoba, upatu, mikopo n.k)
 
Inasemekana ni mtendaji wa ikulu kwa jina mbena malumbi na ndio ana uwekezaji wa majumba na chilakale resort huko mji kasoro bahari
 
Hizi bodaboda wamezilea mpaka zinaleta shida......
sasa ni nini kutoana roho hivi hivi?
Wakati wanapitisha hii sheria ya kuruhusu pikipiki kufanya biashara ilitakiwa wajifunze kwa kutumia uzoefu wa Bukoba kwenye hii biashara na baadae Mwanza maana mkoa wa Bukoba pamoja na kwamba kulikuwa hakuna sheria ya kuruhusu lakini kwa muda walifanya hii biashara kwa muda mrefu (kutokana nchi jirani ya Uganda wao walianza siku nyingi) na ulikuwa unachukuliwa poa mpaka pale ulipopigwa marufuku na mkoa na wengi wakakimbilia Mwanza. Nadhani kulikuwa na haja ya kuanzisha pilot project kwamba usafiri huu utakuwa una operate maeneo flani ya mji na kuwe na idadi maalumu lakini sasa hivi kila mtu akipata hela bodaboda kiasi kwamba wengine wanapata changamoto ya wateja na kushirikiana na wazee wa kazi
 
Bodaboda zisifutwe ila zipewe namba kama taxi tuu mbona n nyepesi kuzidhibiti kama watu wanakuwa makini na kazi zao
 
Tatizo letu Wadanganyika!! Polisi wanafanya kazi zao sawa sawa, kuna mambo mengi yanachangia miundombinu yetu mibovu mnoo, aidha tujiulize je polis mmoja anatakiwa kulinda watu wangapi? Pia sheria yetu ya fedha nadhani inamtaka mtu akiwa na zaidi ya milioni aombe escort.
Nadhani kuna haja ya kutunga sheria pia ya kiwango cha fedha unachotakiwa kukaa nacho, wengine kidogo hakuna namna kama huyo ambae ameibiwa 1.2m kwani yupo kijijini taasisi za fedha hakuna lakini wengine mtu anaibiwa 25 milioni au zaidi na yupo hapo Dar kiasi kwamba unashindwa kuelewa mtu 25 - 40 million aliziweka ndani za nini, ifike mahali mtu kama ni mfanya biashara mzigo unaozidi kiwango flani cha fedha lazima ulipwe kupitia bank. Haya mambo kila kitu kinalipwa kwa cash wakati mwingine ndio inasababisha haya mambo na majambazi huwa hayakosei yakiingia sehemu yana taarifa kabisa ya kiwango cha fedha ulichonacho
 
Ofisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa nchini Bwana Silvanus Mzeru ameuwawa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha. Mauwaji hayo ambayo taarifa zake zimeibua hofu kubwa, yalitokea jana jioni katika mataa ya barabarani ya karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Habari zinasema mara baada ya kufanyika kwa tukio hilo la kinyama wauwaji hao waliondoka na briefcase ya marehemu huyo ambayo haijajulikani ndani yake ilikuwa na vitu gani.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, kabla ya kuuwawa kwa Mzeru watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki walirusha risasi kuelekea katika gari yake.

"Baada ya risasi hizo kurindima, Mzeru aliendesha gari lake kwa kasi na kwenda kugonga magari mengine yaliyokuwa mbele yake na kisha gari lake kutumbukia mtaroni" Alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo.

Mashuhuda hao waliongeza kuwa wauwaji wa Mzeru walimfuata katika mtaro na kuumua kabla ya kuondoka na briefcase iliyokuwa kwenye gari.

Chanzo: Tanzanidaima Toleo namba 3436 Uk 3 la leo Alhamisi, Mei 1 2014.

Mytake:

Kama watu wa usalama wa Taifa wanaweza kuuwawa kinyama kiasi hicho, vipi kuhusu raia wa kawaida?! Kama raia wa kawaida wamekuwa wanapigwa risasi na kuuwa kwa mabomu kwenye mikutano ya vyama vya siasa na waliopaswa kulinda usalama wao, Kumbe haina tofauti na watu wa usalama wa Taifa?! Kama usalama wa taifa huwa wanalalamikiwa kwa kuteka na kutesa kama ilivyosemwa kwa Dr Ulimboka, Nani yuko salama?
 
Back
Top Bottom