Ni watu wa usalama wamemmaliza...Kuna taarifa nyeti nikiwa tayari ntaziweka hapa
I doubt kama una la maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni watu wa usalama wamemmaliza...Kuna taarifa nyeti nikiwa tayari ntaziweka hapa
Kuna chochote unakijua, au kila kitu unachukulia kiccm ccm.
Mambo ya kuchukua wake za
watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia
wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
Maelezo yako hayaonyeshi kama ameuawa kinyama...
Kuna chochote unakijua, au kila kitu unachukulia kiccm ccm.
Habari ndio hiyo ...Mke wa mtu ni sumu.
Umejuaje Mkuu mbona naskia ni issue inayohusiana kuwapelekea taarifa nyeti Ukawa?mambo ya visasi hayo...dhuluma ni mbaya sana
Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
Ofisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa nchini Silvanus Mzeru ameuwawa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha. Mauwaji hayo ambayo taarifa zake zimeibua hofu kubwa, yalitokea jana jioni katika mataa ya barabarani ya karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Habari zinasema mara baada ya kufanyika kwa tukio hilo la kinyama wauwaji hao waliondoka na briefcase ya marehemu huyo ambayo haijajulikani ndani yake ilikuwa na vitu gani.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, kabla ya kuuwawa kwa Mzeru watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki walirusha risasi kuelekea katika gari yake.
"Baada ya risasi hizo kurindima, Mzeru aliendesha gari lake kwa kasi na kwenda kugonga magari mengine yaliyokuwa mbele yake na kisha gari lake kutumbukia mtaroni" Alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo.
Mashuhuda hao waliongeza kuwa wauwaji wa Mzeru walimfuata katika mtaro na kuumua kabla ya kuondoka na briefcase iliyokuwa kwenye gari.
Chanzo: Tanzanidaima Toleo namba 3436 Uk 3 la leo Alhamisi, Mei 1 2014.
Mytake:
Kama watu wa usalama wa Taifa wanaweza kuuwawa kinyama kiasi hicho, vipi kuhusu raia wa kawaida?! Kama raia wa kawaida wamekuwa wanapigwa risasi na kuuwa kwa mabomu kwenye mikutano ya vyama vya siasa na waliopaswa kulinda usalama wao, Kumbe haina tofauti na watu wa usalama wa Taifa?! Kama usalama wa taifa huwa wanalalamikiwa kwa kuteka na kutesa kama ilivyosemwa kwa Dr Ulimboka, Nani yuko salama?
wewe utakuwa ni product ya ugoni. Acha kufanya conclusion zako kama issue huijui.Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
Kwa hiyo ile Briefcase ndio ilikuwa na yule Mke wa watu? Unaposema serikali iimarishe ulinzi wa raia wake je hiyo serikali ni nani na huyu aliyeuawa si mmoja wa hiyo Serikali kama yeye ameuawa hao raia watalindwaje?
Ni watu wa usalama wamemmaliza...Kuna taarifa nyeti nikiwa tayari ntaziweka hapa
Ni watu wa usalama wamemmaliza...Kuna taarifa nyeti nikiwa tayari ntaziweka hapa