iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Alimficha kwenye hilo begi?
asante kwa kufikiri nje ya box (ccm)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimficha kwenye hilo begi?
Si ndiyo yule mwenye Chilakale Resort pale mkoani Morogoro?Na Mbena Malumbi ni nani?Hizi habari zinanichanganya sana.So Mzeru Silvanus na Mbena Malumbi ni mtu mmoja.
Naomba kujua kati ya silvanus mzeru na mbena malumbi nani aliyeuwawa hapo karibu na uwanja wa ndege.huyu mzeru ndio anahusika na majengo na mradi mkubwa wa chilakale resort huko moro wakihusiana na familia ya mkuu wa kaya wamejimilikisha hadi mlima wa uluguru kote ni majengo tuuu km uyoga. Kwa wale waliofika chilakale resort hata mabango ya hiyo miradi client ameandikwa ni mzeru.tokea kifo chake kuvuma tokea jana maskari wametanda huko bigwa kwenye hiyo miradi.je kwann hayaaa kuna nn hapa.nahisi kuna mengi nyuma ya pazia na vile familia ya mkuu wa kaya ilionekana ikija kutembelea hiyo miradi.....
kuna mmbena malumbi,mmbena malundi na silvanus mzeru hapa tunazungushwa tu lazima kuna mambo nyuma ya pazia majina 3 tofauti lakini tukio ni moja la mauaji.hiyo chilakale ma miradi yote ya majengo pale bigwa moro ni yake kwa niaba ya mkuu wa kaya.tutajua mengi hapa
kama ni yeye basi Rizone atakuwa amefanya mpango ili amiliki mwenyewe......:frusty:
...aiseee...familia ya mkulu huwa tumia vibaya sana hao jamaa!!! inaonekana wazi ni kupishana maneno na familia ya mkulu ndio imepekea jamaa kupoteza maisha.
na dr.slaa atulie sasa. Ishu za wake za watu sio nzuri
Ni watu wa usalama wamemmaliza...Kuna taarifa nyeti nikiwa tayari ntaziweka hapa
Huu ni uchochezi na ole wako Slaa adhuriweukawa ndio mdudu gani? Mke wa mtu ni sumu..bado slaa aliempora mahimbo mkewe
Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
Bibie ukituliaga unaandika vitu murua kabisa mpaka unanikosha roho!!!
1000likes
Usalama wa Taifa ishu zao ni nyingi mno, unaweza kuona ameuwawa kwa sababu ya Usalama wa Taifa.!
Haya sasa karegeya kafa wasema ni pk,sasa huyu nani kamuua?
Huu ni uchochezi na ole wako Slaa adhuriwe
Maelezo yako hayaonyeshi kama ameuawa kinyama...
Huwezi kujua nini kimetokea,Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
Huenda ulisoma kwa kudona, soma tena katikati ya mistari "...Mashuhuda hao waliongeza kuwa wauwaji wa Mzeru walimfuata katika mtaro na kuumua kabla ya kuondoka na briefcase iliyokuwa kwenye gari..."
"...Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, kabla ya kuuwawa kwa Mzeru watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki walirusha risasi kuelekea katika gari yake..."
"...Habari zinasema mara baada ya kufanyika kwa tukio hilo la kinyama wauwaji hao waliondoka na briefcase ya marehemu huyo ambayo haijajulikani ndani yake ilikuwa na vitu gani..."
Haya yanatoka kwenye bandiko ulililo kwisha soma; Kama hayaonyemi uuwaji au tendo la kinyama basi unyama utakuwa na defitions nyingi sana!
Haya sasa karegeya kafa wasema ni pk,sasa huyu nani kamuua?
Mkuu.
Hii nayo kali! Sasa hao usalama wa Taifa kama ndio wenyewe, hawana namna nyingine ya kulinda usalama wa Taifa mpaka wamuue mwana usalama wa Taifa mwenzao?!
Maelezo yako hayaonyeshi kama ameuawa kinyama...
Mkuu.
Hii nayo kali! Sasa hao usalama wa Taifa kama ndio wenyewe, hawana namna nyingine ya kulinda usalama wa Taifa mpaka wamuue mwana usalama wa Taifa mwenzao?!