Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
na kwenye hii thread unafanya nini jinga wewe?Mimi mbona sina hizo taarifa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kwenye hii thread unafanya nini jinga wewe?Mimi mbona sina hizo taarifa??
Mambo ya kuchukua wake za watu mabaya sana. Hata hivyo serikali iimarishe ulinzi dhidi ya raia wake, maana sheria za kudeal na wagoni zipo.
Ukweli ni kwamba Mzeru alikuwa ndiye mshika fungu la operations na hata overseas missions.Ni kweli amewekeza kwenye miradi mingi.Lakini si kweli kwamba alikuwa kitengo cha madawa ya kulevya.Kwa nature ya kazi yake hapo idarani na mfumo wa fedha ulivyo ni dhahiri alikuwa na ukwasi wa kutosha.Huyo ameuzwa na mtu wake wa karibu.
Kumbuka siyo wote walio humu JF nirahisi kuwafikia,hata marehemu kabla ya kuuawa inawezekana hakujiandaa na pia walio fanya mauaji watakua wanamjua kiundani either kwa kushirikiana naye katika kazi za kila siku au wamepewa info ya jamaa na waliopanga mauaji.
Ikiwemo kama jamaa ana silaha,aina ya silaha,uwezo wake,afya yake ikoje hasa kama ana BP ya aina yoyote ile,spidi ya jamaa katika matumizi ya silaha hasa kukitokea shambulio la ghafla,pia inawezekana silaha ilikua katika hilo sanduku kama wengi wetu walivyozoea kuziweka.
Soo kushambulia mtu kwa lengo la kutoa uhai siyo rahisi kivile kama wengi wetu wanavyofikilia. Mwache jamaa kama ana data azilete
Maelezo yako hayaonyeshi kama ameuawa kinyama...
Unamsema mwenyekiti wako eeeh
Kwani mwenyekiti wangu ni Dr.W.Slaa
So sad......!!!!!Maarufu kama mbena malumbi kafanya maendeleo sana moro.hakika wengi wataathirika maana alikuwa na wafanyakaz weng ktk investment zake
Kwani tanzania kuna amani?
Maelezo yako hayaonyeshi kama ameuawa kinyama...