Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Hizi kazi, kila kitu ni relative tu.

You can be bad by doing bad things and you can even be bad by doing the good things.
 
sasa hivi wenye pikipiki ndio waporaji wakuu wa simu,pochi,laptop,i pad pamoja na pesa bila udhibiti itakuwa balaa lazima ifanyike kazi ya ziada cha ajabu wengine wanazitumia kwa kampeni za urais
 
Huyo marehemu mwaka 2012 aliongelewa hapa kwenye hii threadna watu wakawa wanajiuliza hizo fedha amezipata wapi. Kuna mchangiaji mmoja anaitwa Ndinani aliandika hivi ''Ameona jinsi kijiji cha Msoga kilivyojengwa na yeye amemuiga boss wake!!Wanachukua vyao mapema wanajua hii ndio lala salama; lakini ole wenu mtakujatolewa kwenye mitaro mtakakokuwa mnajificha arobaini yenu itakapowadia!!!!'', Na kulingana na maelezo ya watu jamaa aliingia kwenye mtaro alipopigwa risasi na kuokotwa!
 
Ukweli ni kwamba Mzeru alikuwa ndiye mshika fungu la operations na hata overseas missions.Ni kweli amewekeza kwenye miradi mingi.Lakini si kweli kwamba alikuwa kitengo cha madawa ya kulevya.Kwa nature ya kazi yake hapo idarani na mfumo wa fedha ulivyo ni dhahiri alikuwa na ukwasi wa kutosha.Huyo ameuzwa na mtu wake wa karibu.

Nashukuru kwa kunisahihisha,ila jamaa alikua kawekeza,huku chanika alikua na mijengo mno na kama kawa bwana,mabosi wa kibongo hua mwiba kwa wafanyakazi,wafanyakazi wa jamaa wengi hawajasikitishwa na kifo chake kwa sababu mishahara alikua anawazungukazunguka,ila alikua radhi kuwanunulia mapombe na starehe zake,all in all rest in peace mzelu,ila huu usalama wa taifa huu,sijui,mm nadhani ndio wanalinda maovu ya nchi hii na kufaidika nayo.
 
Kwani kujilinda ni vibaya? Mie ninachomuasa ni kuwa "Heri kukinga kuliko kutibu...."

Hakuna sehemu nimemkataza kuzimwaga hizo data hapa. Kulisha mtu maneno si vizuri Mkuu.

Ma-CCM sasa hivi wanaona wanabanwa na huenda wengi wao kama Mwigulu wakaja kuishia jela, hivyo They have nothing to loose. Wanakuwa wakali kama Simba lililojeruhiwa. Usichezee Mkate wa mtu anauona unaingia sumu.
Kumbuka siyo wote walio humu JF nirahisi kuwafikia,hata marehemu kabla ya kuuawa inawezekana hakujiandaa na pia walio fanya mauaji watakua wanamjua kiundani either kwa kushirikiana naye katika kazi za kila siku au wamepewa info ya jamaa na waliopanga mauaji.

Ikiwemo kama jamaa ana silaha,aina ya silaha,uwezo wake,afya yake ikoje hasa kama ana BP ya aina yoyote ile,spidi ya jamaa katika matumizi ya silaha hasa kukitokea shambulio la ghafla,pia inawezekana silaha ilikua katika hilo sanduku kama wengi wetu walivyozoea kuziweka.

Soo kushambulia mtu kwa lengo la kutoa uhai siyo rahisi kivile kama wengi wetu wanavyofikilia. Mwache jamaa kama ana data azilete
 
Sana mkuu pia japo simfahamu bt jins navyofahamu alivyowekeza nimeumia sana
 
Bado najiuliza kwa nini hii story kwa michuzi globu haipo??kuna nini nyuma ya pazia ya huyu mbema mulumbi aka silvanus mzeru???
 
Kifo ni kichungu,kama hujajiandaa kuondoka duniani.ee mungu unayewamiliki walio hai na wafu umpe rehema mzeru.uipe familia subira na ujasiri wa kukubali kuendelea kuishi bila mtu wao.uipe jamii yetu utu wa kuthamini uhai kuliko mali na amali za dunia hii!amina!rip brother,till the ressurection of the dead!
 
Back
Top Bottom