Sawa BASHITE! Hivi hao wenye Serikali Agenda yao ya msingi ni ipi tena?Agenda ya msingi tuliyobaki nayo Wapinzani ni "VYETI FEKI " tu.. Kweli yametufika shingoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa BASHITE! Hivi hao wenye Serikali Agenda yao ya msingi ni ipi tena?Agenda ya msingi tuliyobaki nayo Wapinzani ni "VYETI FEKI " tu.. Kweli yametufika shingoni
Wapinzani ndio wametumbua Watumishi kazini kwa Vyeti Fake? Kuwa Na Cheti Fake ni sahihi?Agenda ya msingi tuliyobaki nayo Wapinzani ni "VYETI FEKI " tu.. Kweli yametufika shingoni
Jamaa kapewa buku kumi leoLeo utakuwa umelipwa elfu kumi halafu umeambiwa chenji elfu 3 ubaki nayo nawe unywe hata kakonyagi kadogo wikiendi hii.tunajua hiko ni kituo chenu kama radio Uhuru,mwambieni tu awaombe wanahabari radhi ona anakimbia vituo kibao vilivyo jijini kwakwe wakati alidai mji ni wake
Yaani ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mmeigeuza kwa mhindi?Kwa muhindi hataki hata kukiona cheti chako,kwanza hakijui halafu yeye cha nini?
Tangu asubuhi anapost nyongo tu za kushambulia watu tu najua ni mambo ya buku 7 tu hayaJamaa kapewa buku kumi leo
Mkuu kusemaSTARTV hakuna muhindi,jaribu kwenda kwa bakhresa au manji ukaombe kazi ya chief aacountant wa makampuni ya quality group au bakhresa,akikuomba cheti umwambie sina,Siku hiyo hiyo anakuajiri
Uwe unasoma mtiririko wa thread,usiwe unapenda kudandia treni kwa mbele dadaYaani ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mmeigeuza kwa mhindi?
Fuata mtitiriko wa thread acha kudandia treni kwa mbele dadaMimi nimeshangaa kabisa huyu kabombe kuwafananisha wakuu wa mikoa na wafanyakazi wa maduka ya wahindi,ajabu kabisa!
Na dawa ya feki ni feki nyenzake,kumbe hivi vijamaa vya STARTV vinatulisha kasa,vinatangaza habari za vyeti feki kumbe vyenyewe vina vyeti feki,nchi hii ina safari ndefu,mtu anatamgazia habari mamilioni ya watu kumbe ana vyeti feki!!Dawa ya moto ni moto [emoji23][emoji23]
Akili za buku 7 hizi,kufikiria kwa kutumia tumbo kunaweza kusababisha mtu amwage povu LA namna hii utafikiri amekunywa viroba vya magendo.waambie hao wandishi wasiongelee mambo ya mishahara wanaweza chezea mboko za kutoshaKinachonifurahisha ni baadhi ya watu kujifanya hawataki kusikia habari za Makonda ili hali wanafungua na kuchangia kila thread inayomhusu mkuu wa mkoa huyo.
Yaani kuna wale wengine sasa wanatoa povu na matusi kuliko hata clouds wenyewe waliovamiwa hadi unajiuliza huyu mtu wa namna hii si anaweza patwa na ugonjwa wa kiharusi na ugonjwa wa moyo kwa jambo lisilo muhusu.
Jamani nawasihi mnaojifanya sitaki na taka wa habari za Makonda raha jipeni fuatilieni tu kwa ukaribu na karibuni jumatatu tumwangalie na kumsikiliza mubashara siku ya jumatatu, maana najua wengi wenu mtamzitama tu hapa mnaleta mbwembwe tu.
Hahaha ndio hizi akili ninazozishangaa kwanini ujibu ama ufungue uzi wa mtu usiyempenda? Ujue waweza konda kwa wivu.Akili za buku 7 hizi,kufikiria kwa kutumia tumbo kunaweza kusababisha mtu amwage povu LA namna hii utafikiri amekunywa viroba vya magendo.waambie hao wandishi wasiongelee mambo ya mishahara wanaweza chezea mboko za kutosha
Nchi hii haiwezi kwenda bila ya UMBEA kweli???
This is a national calamity asee
Hivi kumbe kudhibiti vyeti feki ni agenda ya upinzani? Sikujua, nilifikiri ni ya CCM.Agenda ya msingi tuliyobaki nayo Wapinzani ni "VYETI FEKI " tu.. Kweli yametufika shingoni