Tetesi: Mmoja kati ya waandishi atakayefanya mahojiano na Makonda Starvt ana vyeti vya kughushi!!!

Mkuu kusema

Uwe unasoma mtiririko wa thread,usiwe unapenda kudandia treni kwa mbele dada
Niko makini mkuu. Angalau umekiri kwamba Bashite hastahili kuwa ofisi ya serikali, bali anaweza kuwa Startv!
 
Kwa hiyo unatakaje
 
nadhani jicho la tatu la watanzania halioni mambo mengine.
huu ni ugonjwa kwa taifa.
[HASHTAG]#mimimalenga[/HASHTAG] .
 
Watu tunao tumia fake ID twajifanya kwamba tunafahamu sana watu wenye Vyeti visivyo halali! hata wewe unavyeti fake! Unafiki
 
Viva startv viva makonda, clouds TV walidhani wenye media house ni wao tu. nchi nzima tutatazama star tv
Hahaa iv star tv ipo maana ata namba yake kwa remont yangu mtto kaingoa
 
mpaka mbowe nauhakika ataangalia mubashara star TV kumcheki makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…