Tetesi: Mmoja kati ya waandishi atakayefanya mahojiano na Makonda Starvt ana vyeti vya kughushi!!!

BBC dira ya dunia ndio kipindi pekee watu huangalia, otherwise hiyo TV is nearly to be declared bankrupt.

Wote hapa Mtaangalia kipindi. Nawaambia .Watz umbea ndo maisha yenu. So kupindi kitajaa watazamaji haijawahi tokea -
 

Sasa mwenye vyeti feki kumuhoji mwenye vyeti feki mwenzake mbona naona kama kiitifaki imekaa vizuri daudi itakuwa alikataa kuhojiwa na mwenye vyeti halali
 
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Dar-As-Salaam Paul Makonda ....ataunguruma na Kituo Jasiri Star Tv kwa Sekunde 5400....atatufafanulia mengi yaliyojificha.
 
Viva startv viva makonda, clouds TV walidhani wenye media house ni wao tu. nchi nzima tutatazama star tv

Ni nini tafsiri ya nchi nzima kwako??? Nadhani mara ya mwisho kuangalia Star Tv ilikuwa ni kipindi wana tamthiliya inaitwa "MariMar" au walipoondoka kina Ivona Kamuntu.
 
Maapuli was my class mate jamani nimesoma nae shule moja from Form one to Form four amemaliza 2005 ana DV 111 Form four , advance amesoma private labda uyo mwingine!!! Na chuo kasoma SAUT!!
 
Maapuli was my class mate jamani nimesoma nae shule moja from Form one to Form four amemaliza 2005 ana DV 111 Form four , advance amesoma private labda uyo mwingine!!! Na chuo kasoma SAUT!!
Duh!

Inabidi kabla ya kipindi wahusika wote waonyeshe vyeti kwanza ndio waendelee na kipindi
 
*Katibu wa Shirikisho la Wamiliki wa Shule Binafsi Arusha,L.Ma ameviambia vyombo vya
Habari jijini Arusha kuwa,
Polisi haijawarejeshea
Sh18m waliyotaka
kuikabidhi Lucky Vincent.
 
*Katibu wa Shirikisho la Wamiliki wa Shule Binafsi Arusha,L.Ma ameviambia vyombo vya
Habari jijini Arusha kuwa,
Polisi haijawarejeshea
Sh18m waliyotaka
kuikabidhi Lucky Vincent.
Mhhhhh!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…